Camera ilivyophotoa watu wakifanya UKAMUNGU YEYE (ulozi au uchawi) nchini Haiti Amerika ya kati

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,320
33,120

An enchanting collection of photographs has given a glimpse inside Haiti's Vodou faith - but it's not all animal sacrifice and evil spirits.
Anthony Karen said he felt compelled to travel to the Caribbean country after a documentary piqued his interest in its dark and mysterious rituals.

But once there, he discovered there are many misconceptions about the religion he now considers one of the most organic and natural forms of spirituality.

Mkuu utafiti,inawezekana wachawi huwa wanafaidi sana maisha kuliko sisi tusiokuwa wachawi!mimi natamani kuishi maisha ya kichawi angalau kwa dakika tano tu!

Mkuu huwezi kupata faida kwa uchawi labda tuseme mtu anaishi maisha mazuri kwasababu ya uchawi. Ninachoamini uchawi unaweza kuharibu maisha ya mwengine ila sio kujenga
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huwezi kupata faida kwa uchawi labda tuseme mtu anaishi maisha mazuri kwasababu ya uchawi. Ninachoamini uchawi unaweza kuharibu maisha ya mwengine ila sio kujenga
Ni sawa mkuu,lakini tujiulize kwanini baadhi ya watu wanaupenda sana?uenda ukawa na manufaa ambayo sisi hatuyajui!
 
Hiyo ni dini wanajiida VODOO wamechanganya ukristo kidogo na mila za jadi, unaweza search Google kupata taarifa zao. Kwa Africa nchi ya Benin inawafuasi wengi sana wa dini hiyo na kuna wakati walikuwa wanafukua maiti na kuzikata vichwa kwaajili ya kutambikia wafanikiwe kiuchumi.
 
Mkuu acha kabisa kuchafua dini ya kikristu na huu upuuzi!hakuna mafundisho ya kikristu yanayoshabihiana na ushirikina!
 
Ni sawa mkuu,lakini tujiulize kwanini baadhi ya watu wanaupenda sana?uenda ukawa na manufaa ambayo sisi hatuyajui!

Manufaa yake ni kuweza kukuharibia wewe tu mkuu, yaani yeye akose na wewe ukose
 
Hiyo ni dini wanajiida VODOO wamechanganya ukristo kidogo na mila za jadi, unaweza search Google kupata taarifa zao. Kwa Africa nchi ya Benin inawafuasi wengi sana wa dini hiyo na kuna wakati walikuwa wanafukua maiti na kuzikata vichwa kwaajili ya kutambikia wafanikiwe kiuchumi.

Toba mambo makubwa haya hata kingugwa ya nshinda
 
An enchanting collection of photographs has given a glimpse inside Haiti's Vodou faith - but it's not all animal sacrifice and evil spirits.
Anthony Karen said he felt compelled to travel to the Caribbean country after a documentary piqued his interest in its dark and mysterious rituals.

But once there, he discovered there are many misconceptions about the religion he now considers one of the most organic and natural forms of spirituality.
Huyo Bwana angekuja huku visiwani akafanya utafiti wa "Giningi"!
 
Back
Top Bottom