Calsbash!!!Calsbash!!!Calsbash!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
Calsbash, kweli nakutuuzia bia Tsh 1800/= Ila katika muziki mnatuchakachua mnaweka CD then mnakanadamizia (copy and paste) hamna tija.

Hata mtu akitaka kuwasponsa atashindwa kwani mmejisahau kuhusu swala la wateja.
 
si uje tandale upate zilipendwa na ukifika saa 4 unaskia taarifa ya habari ya saa mbili ya mwaka 2002 na nyimbo za yule babu yetu achen kukimbilia kwa sharobaro njoo ule kuku kipande 600 nyie mwala 1600
 
Back
Top Bottom