Call waiting........

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
May 29, 2011
2,405
1,181
"Samahani namba unayopiga kwa sasa inatumika tafadhali subiri"Maneno haya yameniweka kwenye mtafaruko na mpenz wangu mida ya tigo promo saa nne usiku.Amenuna hataki hata tuöngee kwa madai eti nilikua naongea na mpnz mwingne na anataka 2achane.Hivi wajamen tatizo ni call waiting au anayake mengine?
 
sasa na wewe tigo promo badala ya kuongea na mpenzio uko kwenye simu na mtu mwingine...ulikua unaongea na nani??
 
Atakuwa na mengine yame mbore zaidi ya hiyo call waiting.....Muulize.:A S check_03:
 
mpige chini hata wa kwangu kanizingua nikamdelete

unavua gamba unavaa gwanda huo ni mpango mzima
 
Possibly YES OR NO..anaejua ni wewe na yeye jinsi mnavyoendesha mapenzi yenu...Mapenzi ni maelewano..kama hamna hivyo.Dont force.:flypig:


JOCATE DIAMOND..

kwa hiyo unanishauri nimwache au? Kama yes nitawaacha wangap?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom