Call to Action: Seize the da*n Generators!

Mkuu Mwanakijiji,

Hapa nakubaliana nawe, kama tuna mwanya wa kutaifisha hizo machine tufanye hivyo tena haraka sana.

Hakuna sababu ya huu mjadala wa hizi machine kuwa sinema ya miezi na miezi, tufike mahali tuchukue uamuzi na kumalizana nao.

Hapa sasa Mtanzania unaniacha gizani kabisa. Kwingineko kote umesema kununua mitambo hiyo ni jambo jema kabisa. Hapa tena unaunga mkono kutaifisha huoni kuwa hii hijakawa sawa hata kidogo. Kwa nini tutaifishe wakati ulishasema tutununue au lile fungu lililotengwa kwa ajili ya ununuzi huo limepotea?
 
Kwanini mnaiogopa Dowans? Hamtaki kuizungumzia kampuni mmebakia kuzungumzia majenereta; hamtaki kuzungumza nwa GE, Siemens, Kawasaki n.k watengenezaji ambao wamewaambia tayari yapo majenereta ambayo yanaweza kuletwa nchini ndani ya mwaka huu na kuanza kazi tena kwa bei ya ushindani, mbona hamtangazi tenda.. mnataka Dowans Dowans Dowans

Hili mmlianzisha wenyewe, next time msilete marafiki zenu kwenye biashara mkiahidi kuwapa utajiri ambao na wenyewe watauzungusha kwenu!

NO DOWANS, FIND OTHER ALTERNATIVES.. HAMUWEZI KUJIZUIA.. THEN CONFISCATE THEM SHERIA IKO UPANDE WENU!
Mwanakijiji hapa umenena. hakuna mtu anayeizungumzia kampuni watu wanaongelea majenereta tuu. Wakiongelea kampuni inaonekana ni kampuni ya kitapeli kwa hiyo inabidi waongelee mitambo tuu. Na Mhe Zitto alinisikitisha alipokuwa anasema kwamba hajali kuhusu mmiliki au kampuni yaani alikuwa anaonekana katumwa kabisaa. Na kwa nini hizo sheria zisitumike kwenye Dowans, maana serikali ina mkono mrefu ukiidanganya inaweza kuchukua hicho ulichowadanganya nacho ila naona kwa dowans serikali mkono umekatwa.
 
Hapa sasa Mtanzania unaniacha gizani kabisa. Kwingineko kote umesema kununua mitambo hiyo ni jambo jema kabisa. Hapa tena unaunga mkono kutaifisha huoni kuwa hii hijakawa sawa hata kidogo. Kwa nini tutaifishe wakati ulishasema tutununue au lile fungu lililotengwa kwa ajili ya ununuzi huo limepotea?

Cpt Hadock,

Ni wapi huko nilikoandika kununua mitambo hiyo ni jambo jema kabisa? Unaweza kurudi kwenye mjadala wa hili suala.

Nilichoandika mimi ni kwamba kama tathmini itakayofanywa na watu wenye utaalamu itaonyesha kununua mtambo wa DOWANS ni value for money, na hivyo kuwa na faida kwa taifa, ningelikuwa mimi ningenunua bila kujali ubaya wa DOWANS. Dhana ambayo mimi naikataa ni kuacha kufanya jambo ambalo lina faida kwa wananchi wengi kwa kuhofia kuwa kufanya hivyo mbaya wako atafaidika pia.

Value for money ndio ilikuwa kipimo baada ya kulinganisha options zingine zote. Ndio kitu hicho hicho alichosema prof. Lipumba sasa.

Of course kama kuna uwezekano wa kutaifisha huo mtambo bila kuleta madhara kwa nchi kisheria, mimi ninaunga mkono.

Kinachotokea sasa wameamua wasinunue, sawa, lakini inabidi kutafuta njia nyingine au mtambo mwingine maana kukaa kimya bila kupata option nyingine ni hatari mno.
 
choma moto mashine kieleweke kwani wawekezaji wamelazimishwa kuja kuwekeza kama mwekezaji atataka kuja kuwekeza kwa kufanya ujanja ujanja basi huo ni ujumbe tunawatumia. hawa wawekezaji jamani watu wanashindwa kuelewa si kwamba sisi ndio tunafaidika ukiangalia kwa undani zaidi ni wao ndio wanafaidika.Watanzania bwana sio wa miaka ile bwana tuna kila kitu tunaweza bado kusonga mbele sio hizi bla bla wanatupiga nazo kila siku tumechoka. choma moto mambo yaishe labda kitaeleweka.
 
Mitambo ya Dowans 'ni mipya kabisa" according to Al-Adawi.. hii ina maana tenda itakapoitwa Dowans watakuja tena kurusha ndoana yao na baada ya x,y, and z wao wataonekana ndiyo wako affordable, mitambo tayari iko nchini, na haitakuwa na gharama ya kuifunga upya, na wakati huo kutakuwa na upungufu wa nishati ya umeme na hivyo itabidi tuwakubalie teenda Dowans.
 
UJAMAA NA UDUMU....! SERA ZA UTAIFISHAJI NA ZIDUMU.....!
amaaaaandla....!
 
Sawa tunahitajia mitambo ya Dowans;

DON'T BUY THEM, SEIZE THEM KWANI WAMEWADANGANYA! Kwanini mnatetemeka kwenye option hii. Vinginevyo si huwa tunaomba misaada ya kigeni, mwombeni Al-Adawi aitoe kama hisani kwa Tanzania. Vinginevyo waombeni wajomba zetu wanunue msitumie fedha za Watanzania.

Yote yanayoendelea hapa ni kutaka tununue tu? Why why why? Kwanini tuyanunue;wakati tunajua dowans haipo kisheria? Kwanini mmeng'ang'ani tuyanunue tu wakati kuna options za kuyataifisha baada ya kujua kuwa waliingia kwa uongo soma PPRA na sheria za kuhujumu uchumi..

why are you scared Mr. President; why are you tetemekaling Mr. Ngeleja. YOU WANT DOWANS' TURBINES? GO GET 'EM!

Mtamaliza huu mjadala. Lakini.. ooh no! we have TO BUY THEM!

Najua rafiki yenu naye kawakomalia, mlimuahidi mtanunua sasa imekuwa ngondo mwaanza kufunga milango. Kwanini msiamue kununua kutoka katika fedha zenu mifukoni mwenu kuonesha huo uzalendo wenu?

Kwanini mnaiogopa Dowans? Hamtaki kuizungumzia kampuni mmebakia kuzungumzia majenereta; hamtaki kuzungumza nwa GE, Siemens, Kawasaki n.k watengenezaji ambao wamewaambia tayari yapo majenereta ambayo yanaweza kuletwa nchini ndani ya mwaka huu na kuanza kazi tena kwa bei ya ushindani, mbona hamtangazi tenda.. mnataka Dowans Dowans Dowans

Hili mmlianzisha wenyewe, next time msilete marafiki zenu kwenye biashara mkiahidi kuwapa utajiri ambao na wenyewe watauzungusha kwenu!

NO DOWANS, FIND OTHER ALTERNATIVES.. HAMUWEZI KUJIZUIA.. THEN CONFISCATE THEM SHERIA IKO UPANDE WENU!

anayetakiwa kutoa maamizi anahisa huko kwenye mitambo chakavu: mtainunua tu.
 
Hivi mtu anayetaka kukuuzia mbuzi kwenye gunia na kugundua kwamba ni muhuni adhabu yake ni nini kama sio kutaifisha kile ambacho alitaka kukuibia. JK use the power kama ulivyoahidi wakati unaapishwa taifisha mitambo ya Dowans na wafilisi wale wote wenye uhusiano na Dowans i.e. RA, EL na wewe mwenyewe JK.

Kama hilo ni gumu Bunge lifanye hiyo kazi.

BTW Kama ungechukua ushauri huu tarehe 20 March 2009 usingekuwa na pressure yoyote hivi sasa.
 
Back
Top Bottom