calabash pub

kweli watu hatulingani haya bwana endelea kupombeka..
<br />
<br />
mkuu kuna sehemu pia za matamasha ya kuimba kwaya na mahubiri ya wanaijeria

huko kutakufaa mkuu mtafute geor davies atakwambia wako wp leo!
 
Nisalimie Director Milton Nyerere (Humble guy) Co.Director Lawrence Ndanshau,Counter Mwala... Meneja wa Jiko Tyson Director wa jiko Gody,Bila ya kumsahau mhudumu wa muda mrefu MwaJ... Flora na yule nanahino Furaha... nitapita hapo...
 
Wazee nipo ndani ya Calabash hapa this time najigongea tu mambo ya Rangi ya chungwa!!kuna mwanajf yoyote now humu ndan?
 
Nipo ndani ya Calabash Pub, pembeni uku nimekaa peke yangu
 
Hii calabash pub jina kama ID yangu iko upande gani Dar na ni nzuri? Nielekezeni.
Zamani iliitwa Picnic Pub kama sikosei hapo kuna guest moja ambayo zamani zilikuwa pamoja na Picnic Pub ,ila kwa sasa inajitegemea hiyo guest unapoenda chooni ndiko kuna mlango wa kuingilia hiyo guest ambayo ni machinjio ya fasta book 6 tu
 
Hapo pakiitwa Paris Club, halafu NEW PARIS CLUB! Napakumbuka vizuri, maana kuna siku (about 5-6 years ago), nilikuwa na totoz tukaagizia kuku, huwezi amini, ililetwa kuku iliyooza, halafu jamaa wakamaindi eti tulipe wakati hata kile kipande3 tulichoonja tulikitema! Niligoma kulipa, demu akajifanya msamaria AKALIPA!
 
<br />
<br />
hahaaaaaa....umemuona huyo msimamizi wa jikoni hapo...anaitwa furaha daaah ana mkia acha kabisa

Huyu kwenye red kwani bado yupo? Ninamfahamu tangu enzi za Hill Garden kwa Mae, nilikuwa napendezwa sana na tabasmu lake, kuna wakati aliolewa, au siye ninayemdhani? Naye alikuwa na jina kama hilo!
 
Ngoja niende zangu savana au mafian! Hapa Calabash naona hamna jipya tena
 
Bora muanze kutupa "live" yanayojiri huko vilabuni badala ya kuwa mnatupa "live" za maandamano tu. Mnanchekesha!

Haya anzeni...labda tukinogewa tutakuja kuwa join.
 
Bora muanze kutupa "live" yanayojiri huko vilabuni badala ya kuwa mnatupa "live" za maandamano tu. Mnanchekesha!

Haya anzeni...labda tukinogewa tutakuja kuwa join.
sasa vilabuni mkiambiwa watu wanashikana nanii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom