CAG: Hakuna ufisadi NSSF

Ningeshangaa kama Mussa Assad angekubali kumning'iniza mswalihina mwenzake. Wanajuana kwa Vilemba anzia Masjid ya UDSM.
 
Ningeshangaa kama Mussa Assad angekubali kumning'iniza mswalihina mwenzake. Wanajuana kwa Vilemba anzia Masjid ya UDSM.
Mkuu napata shida hapa kidogo kila nikijaribu kuweka audit report ya nssf ikifika 60% inakata haichagui amemning'iniza
 
Mungu akuepushe kwa hili na lengine Dr Dau.Ufisadi una wenyewe waliolelewa na "MFUMO"
 
MAKATONTA KWA CHUKI NA UWONGO BALAAAA, KUMBE DAU MWEUPEEE KAMA THELUJI YAANI HANA HATA DOA, SASA NAAMINI UISLAM WAKE NDIO TATIZO
 
Ufisadi upo, ila source sina. Kiwanja kununuliwa kwa mil 800 utadhani kipo kariakoo? Mradi wa kigamboni bridge kuwa na thamani kubwa kuliko daraja la china lenye km 41 wakati kigamboni ni m 600 pekee lkn gharama kubwa kuliko la china. Value for money haipo.

Lkn pale ngedere anapopewa kumlinda ngedere kwenye shamba la mahindi

keep-calm-go-raptors.jpg
 
watanzania ni watu wa ajabu sana.Kwakwlei nthani tunafaa kuwekwa kwenye vitabu vya guiness kwa kuwa watu wa ajabu.Inawezekana vip,Dr Dau kushitakiwa wakati yeye ndie alikua anakula na wakubwa kwenye makampuni yenye tenda?mimi nachoogopa siku tutashikana mapanga maana mnaleta upendeleo na kujuana na sio haki.
 
mbona mwanzoni mlisema ni ripoti ya CAG? au huyu mnaemuongelea ni yupi? au ni kipi kilikuwa chanzo cha taarifa yenu?
Ripoti ya CAG iliyotengenezwa na Ernest and young iliyovuja kabla board haijaipitia maana wangeinyofoa baadhi ya mambo bahati nzuri JPM akalijua hilo na kuitumbua
 
Sasa tusubiri ufataani na majungu atayopikiwa Profesa Assad.

Mahasidi huwa gonjwa lao hilo haliponi huzidi kila kukicha lakini hawajitambui.
 
Ripoti ya CAG iliyotengenezwa na Ernest and young iliyovuja kabla board haijaipitia maana wangeinyofoa baadhi ya mambo bahati nzuri JPM akalijua hilo na kuitumbua

Wacha uongo wewe.

Uko wapi huo uongo wenu? Hamna cha ripoti wala ushuzi wa ripoti mnazuwa jee mngekuwa na ripoti? Si ndiyo mngefanya sherehe.

Ule uongo wenu eti mnamnukuu mlinzi wa getini?

Hivi hizo shule mlienda kusomea uongo?
 
Bibi ni Je? Na jee
 
Je unajua chanzo cha board ya Nssf kuvunjwa,na je unajua walikuwa wafanye kikao siku inayofuata kabla ya kuvunjwa,unajua ajenda za hicho kikao? Basi nikudukulie tu kidogo kuwa ulikuwa ikae full board baada ya audit committee kukaa na ukipitia ile ripoti ya audit,wajanja walompelekea jpm a raw audit report na jpm akaivunja board na kuagiza minute za hicho kikao kilichotegemewa zipekekwe wizarani,ukitaka zaidi karibu
 
Hizo ni porojo za mafataani. Tunajuwa uhasidi ni maradhi yaliyomo ndani ya nyoyo zenu na huzidi kila kukicha.

Tukuamini wewe zaidi ya CAG, hapana hatujafikia upunguani huo.

Unaongelelea "raw report" mliyoileta JF inayomnukuu mlinzi wa getini?

Usitake kuchekesha watu saa hizi.

Kama unaweza panda juu nenda ukazibe.
 
Jamani njooni huku msipite mbali huyu mjahdina dau, Awezi kuwa msafi kuliko sisi tuliopewa vitengo vingi kwa upendeleo kuendesha na kuharibu kila sehemu
 
Back
Top Bottom