CAG akabidhi Ripoti ya Mapato ya Kituo Cha Mabasi Ubungo

Mukuru

Member
Apr 14, 2009
40
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Taarifa kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali( CAG),Ludovic Utoh kuhusu mapato na makusanyo ya kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es salaam, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Jana.Mheshimiwa Pinda alimuagiza CAG kufanya uchunguzi huo baada ya kutembelea kituo hicho na kupata malalamiko kutoka kwa wadau Machi mwaka huu.
 
Attachments

  • 1248866433_img_0468.jpg
    1248866433_img_0468.jpg
    19.1 KB · Views: 43
WADAU KUPAMBA RIPOTI KAMA ZAWADI YA BETHIDEI NDO NINI?

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Taarifa kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali( CAG),Ludovic Utoh kuhusu mapato na makusanyo ya kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es salaam, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Jana.Mheshimiwa Pinda alimuagiza CAG kufanya uchunguzi huo baada ya kutembelea kituo hicho na kupata malalamiko kutoka kwa wadau Machi mwaka huu.
 
Hivi ile kasi mpya ari mpya na nguvu mpya bado ipo?
Nakumbuka ile ripoti ya Jaji Kipenka baada ya kukamilika the next day Raisi akatoa maamuzi. Sasa hizi za siku hizi sijui!! Yangu macho.
 
WADAU KUPAMBA RIPOTI KAMA ZAWADI YA BETHIDEI NDO NINI?

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Taarifa kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali( CAG),Ludovic Utoh kuhusu mapato na makusanyo ya kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es salaam, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Jana.Mheshimiwa Pinda alimuagiza CAG kufanya uchunguzi huo baada ya kutembelea kituo hicho na kupata malalamiko kutoka kwa wadau Machi mwaka huu.

Hakuna lolote nchi hii tumelaaniwa tukiibiwa ndiyo tunafurahi!!! Maajabu haya!

Kingunge ataendelea tu kuvuna hela Serikali haitafanya lolote kama ingekuwa serious hivyo PINDA angeshindwa kutekelza agizo la BUNge kuhusu RICHMOND!!!

Leo nilikuwa Ubungo saa kumi na moja asubuhi! Magari mengi hadi mkiwa mle mnabaki kwenye traffic jam kwa muda hata wa nusu saa!!

Jamani pale ubungo watu WANAVUNA HELAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
sERIKALI HII YA ccm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! IMELA..................WA
 
Mkuu,Mkira unashangaa nini?Wakati mambo kibao ya upotevu wa rasilimali za umma yanafanywa waziwazi;ukipiga kelele inaundwa tume na wakati mchawi anajulikana!
Hii nchi imegoma kuendelea,na viongozi wake wapo katika kuhakikisha mgomo unatekelezwa tena kwa ufanisi.
 
RipotiPinda.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Taarifa kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali( CAG),Ludovic Utoh kuhusu mapato na makusanyo ya kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es salaam,

Lo, Mshiko ama ripoti !
Toka lini ripoti ikafungwa
kama zawadi
Au macho yangu
Naomba mwongozo jamani.

Makusanyo ya mwezi
si haba hata kidogo

Hakuna kitu hiyo si ndio strategy kunyamazisha wazalendo waoga??wanajua ndio imetoka hiyo....let's wait utasikia terms tu zinabadilika kimya kimya....ila mengine yale yale....usitegemee lolote
 
Back
Top Bottom