CAF CL 2012 Mazembe 2-0 Al Zamalek - Samatta on target again

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Mbwana Ally Samatta ameng'ara tena kwenye CAF Champions League 2012 leo jioni baada ya kuifungia timu yake dhidi ya Waarabu hao wa Misri. Bao la kwanza lilofungwa na kiungo Isaac Kasongo dk. 70 kabla ya Samatta kuongeza bao ka pili dk.77

Kaza buti dogo Ulaya inanukia.
 
akiendelea kuwa kwenye form hii future yake itakuwa nzuri
 
Angebaki simba sasa hivi angekuwa corner bar anakula nyama choma, but mazembe yupo kwenye caf champions league anawakilisha, that's why mazembe pay u 10,000 usd per month as you worth it, hongera kwa kupata kiwanja gezaulole japokuwa majina yaliyopata ya mafisadi tu but kukuta na jina lako nimefarijika,

Safar ya ulaya inanukia
 
$10000 kwa mwezi...si mchezo..hongera zake
 
Ba mutu bayanga bako na wivu sana, munamatatizo sana eti corner bar??nyie yanga leo mmetka ngpi ngpi uko cuf?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom