CAF Champions League

Timu zimewasili kitambo kidogo, walikuwa wanapasha hapa Uwanjani.
Matangazo ya moja kwa moja yanapatikana kupitia SS4
 
Kikosi kinachoanza cha Orlando
Meyiwa
Gcaba
Jele
Klate
Matlaba
Bacela
Myeni
Jali
Manyisa
Segolela
Mahamutsa
 
Kikosi cha Ahly kinachoanza leo...
Sherif Ekrami
Sherif Abdel-Fadil
Wael Gomaa (Nahodha)
Mohamed Naguib
Sayed Moawad;
Ahmed Fathi
Hossam Ashour
Abdallah El-Said
Walid
Soliman
Mohamed Abou- Treika
Ahmed Abdel-Zaher
 
Mwenyekiti wa SAFA, Danny Joordan ndio mgeni wa heshima hapa...
 
Marehemu Leepile Taunyane, aliyekuwa mwenyekiti wa PSL anakumbukwa kwa ukimya wa dakika moja hapa.
 
Mohamed ABoutreka anaipatia Ahly goli la kuongoza, takriban dakika ya 14 ya mchezo.
 
Mohamed ABoutreka anaipatia Ahly goli la kuongoza kwa mkwaju maridadi wa adhabu ndogo, takriban dakika ya 14 ya mchezo.
 
Dah jamaa wamefanya kombe kama mkanda wao wa kiunoni kila wakitaka wanauvaa!

Pamoja na mambo mengine ya kiufundi, hawa waarabu wanajua kutunza wachezaji wao.
Huku kusini mwa Sahara ndoto ya kila mchezaji, kocha, kiongozi mpaka washabiki ni kuona wanaenda kucheza Ulaya.
Kwa hali hiyo kwanini wasitakate wao tu?
 
Naona Daine Klate anatia majaro ya kufa mtu, yanakosa wamaliziaji tu.
 
Back
Top Bottom