cacico am sorry...............ma sweetheart.

yaani sasa hapo tumefanya cross multiplication ama? Nili mpm kumtuma aniombee msamaha jamami shostito lol mi na wewe tena>>>>>>
mwenzangu kizuri tushee! We kwa muda wako, na mi kwa muda wangu! Imekaaje hii??? Ooppsss shanga angu niwekee wallah, mwenzio bado kidogo ningeachika! Lol
 
mwenzangu kizuri tushee! We kwa muda wako, na mi kwa muda wangu! Imekaaje hii??? Ooppsss shanga angu niwekee wallah, mwenzio bado kidogo ningeachika! Lol

umeona eeh ! ndo mana mi luv you sana shostito msiri wangu.
 
lol! speechless..........! my dada who am i not forgive u jamani??? I believe kuna sababu ya msingi iliyokufanya ushindwe kufika na kutimiza yale tuliyokubaliana! japo niliumia coz i was ol all alone na twins my hubby Asprin ni shahidi, but nilifanikiwa at last! hayo yamepita my dear tuangalie mbele na kupanga mengine! what i need to u na chit chatters wengine wote ni sala zenu tu, ili hilo lililopo mbele yangu lipite salama! mi luv u all! especially my hubby Asprin who was there by my side ezch step of the way! mwahhhh to u my dada gfsonwin na shem Kaizer, wapambe wote humu ndani na marafiki wa ukweeeee mliokuja hapa chit chat kumfariji my friend na mimi! morning chit chatters!

thanks for accepting my apology ma sweetheart, najua it was difficult na naumia sana nikikumbuka but our good lord huwa hashindwi my true friend we are just going to pray for the rest. Asprin sikusomi kabisa leo lakini kiupekee kabisa naomba niutambue mchango wa platozoom, PakaJimmy charming gal Kipipi ingawa alinigongelea misumari mito asante sana kaka mkubwa princess enny i can feel your empathy rutta ma true brother i love you and wote wale ambao wamenisaidia sana katika kufanikisha msamaha wangu kukubaliwa. Nina waahidi kwamba sitowaangusha kamwe nitakuwa rafiki mwema sana.

Thanks ma true friend cacico, i love you ma swrheart. am with you in prayers ma dear.

Here we go!! Pamoja kwa upendo.
 
He he he he he, hatimaye yagindulika nini kiliwakosanisha gfsonwin na cacico.
Naskia cacico ana miguu kama vibanio vya nguo, siku zote imeumana
So Asprin alitakiwa kufanya fertilization kwa msaada wa gfsonwin kumshikilia cacico miguu

Baada ya mshikilia miguu kkutokuja wakaamua kuendelea na zoezi lao
asprin si akajidai anaweza fertilize na kushikilia miguu???
Weee alijisahau miguu ikafyatuka na kujifunga ghafla na sehemu zake za uzalishaji zikabanwa na kukatika

hadi dakika hii inaaminika hiyo mimba ya twins ilitungwa kwa kutumia syringe.

aiseee! besteeeeee popote ulipo umeona hii???

dah! Kongosho mbavu zangu mwehhhh! ngoja wakusome wenyewe.

Khaaaaaaa............................!!
 
thanks for accepting my apology ma sweetheart, najua it was difficult na naumia sana nikikumbuka but our good lord huwa hashindwi my true friend we are just going to pray for the rest. Asprin sikusomi kabisa leo lakini kiupekee kabisa naomba niutambue mchango wa platozoom, PakaJimmy charming gal Kipipi ingawa alinigongelea misumari mito asante sana kaka mkubwa princess enny i can feel your empathy rutta ma true brother i love you and wote wale ambao wamenisaidia sana katika kufanikisha msamaha wangu kukubaliwa. Nina waahidi kwamba sitowaangusha kamwe nitakuwa rafiki mwema sana.

Thanks ma true friend cacico, i love you ma swrheart. am with you in prayers ma dear.
mmmh!! gfsonwin ntake radh mi ni mdada mkubwa!!
 
Back
Top Bottom