Cable tv

Adolph

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
895
346
Wakuu nimezunguka mikoa mingi nimeona kuna watu wanafaidi sana na cable tv ambapo wanaweza kuangalia channel kama HBO,Macau,MTV,Trace,Discovery,Channel zote za bongo,Kenya,Uganda,Star Movies,Dubai Sport,Super Sport,SABC zote,MBC zote, channel ya DSTV inayoonyesha movie za kiswahili,Filmax,,CNN,Alj azeera n.k. kwa bei nzuri tu ya tsh 10000 kwa mwezi, kwingine 12,000/= kwa mwezi
ningependa na mm nianzishe hii cable tv chalinze ila sijajua gharama na process zake za kuanzia..please naomba mwenye ufahamu wa hili jambo anisaidie niweze kukamilisha hili jambo. je kibali nitakitoa wapi ili niweze kuruhusiwa kuanzisha cable tv? na gharama zake ni kama tsh ngapi na kuna malipo ya mwezi nayotakiwa kuyalipa?
 
Back
Top Bottom