Cable modem???

JM Aristotle

Senior Member
Mar 9, 2010
163
4
Habari yenu wadau!
Natafuta kifaa kinaitwa "CABLE MODEM"... Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa kwa hapa Dar; but nobody has it or even seem to know it... Nimeweka picha ya hiyo device hapo chini...
Kama kuna mtu anafahamu zinapouzwa or any way to help; please PM me... Asanteni Sana!
linksys cable modem.jpg
 
Wewe ndy una matatizo katika maelezo yako, TOA TECHNICAL SPECIFICATIONS, na ueleze unataka kuitumia wapi!!!!!
 
Wewe ndy una matatizo katika maelezo yako, TOA TECHNICAL SPECIFICATIONS, na ueleze unataka kuitumia wapi!!!!!

Zipo za aina nyingi from different manufactures; that's why I was general ili mwenye nayo anambie anayo ya aina gani?
kuhusu kuitumia wapi: It's my own simple project...

For a brief clarification:
Cable modems provide high-speed Internet access over cable TV networks (which rely primarily on fiber-optic or coaxial cable). The most popular devices for broadband Internet access, cable modems support very high data rates...


Binafsi ningependa yenye specifications zifuatazo:
- DOCSIS 3.0 or even 2.0 wideband Internet capabilities
 
Hapa Africa including Tanzania hii kitu haipo usipoteze muda omba wana JF waliopo USA au Canada wakununulie.
 
Hapa Africa including Tanzania hii kitu haipo usipoteze muda omba wana JF waliopo USA au Canada wakununulie.

Thank you for that man! Appreciate that...
Hata mimi baada ya kuzunguka sana; I came to that conclusion... nilitaka tu niulize na hapa... before I decide to even buy it online or otherwise.
 
Back
Top Bottom