Cabinet reshufle coming tomorrow?!

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,093
1,726
Kuteuliwa kwa January Makamba kuongoza Idara ya Mambo ya Nje ya CCM kunaashiria mabadiliko ya haraka ya Baraza la Mawaziri, ambapo Januari atachukua nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje. Hii ni kwa sababu mbili:

-Waziri wa Mambo ya kawaida ndiye Mkuu wa Idara hii ya CCM
-Membe ameondolewa katika idara hii na pia hayumo hata katika Kamati Kuu.
 
Siwezi kushangaa hilo kwani mwanzoni baada ya uchaguzi miye nilitegemea JM aende Foreign kwa sababu zangu binafsi; kwa hiyo hata kupelekwa huko kwa CCM nadhani ni part ya kitu kile kile. Lakini itakuwa ni aibu kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri hata mwaka haujapita..
 
Jamani acheni aende popote huyu mtoto anafaa sn, sijaona MP mwenye mipango yakaribu km huyu mtt, kweli heshima ya manyuzi naamini ataiweka mbele, mm si mpenzi wa CCM ila mtu afanyavyo vizuri lazima tumpe hongera.

Sijaona MP hata mmoja wa CCM ambaye yuko tayari kukataa Lunch box ya 1m na kuwaambia wenzake, kama mwenyekiti hakuwa tayari kupokea 1m km lunch kwani ni hongo, kunachakula gani cha sh. mil. 1, anastahili hata akiwa FM namfagilia sana, naamini nchi itabadilika, wacheni vijana wachukue usukani kwenye jahazi linaloyumba watawasaidia wazee kufika mahali palipokutegemewa.
 
Dar kuwa jiji la Membe?
 
Mwanakijiji kumbuka Rais ndiye anateua mawaziri, na Kikwete ndo Rais wetu TZ, kwake soni iko guantanamo.

Dar kuwa jiji la Membe?

Kuhusu J Makamba sikubaliani na wanaomsifia,bado nammweka kwenye kundi la watu ambao misimamo yao haieleweki
 
hayo mambo mengine mnayoongea hayapo,focus wiki hii itakuwa WASHINGTON DC 15-17 Apr 2011 kwenye mkutano wa International Monetary Fund and World Bank ...
 
Jamani acheni aende popote huyu mtoto anafaa sn, sijaona MP mwenye mipango yakaribu km huyu mtt, kweli heshima ya manyuzi naamini ataiweka mbele, mm si mpenzi wa CCM ila mtu afanyavyo vizuri lazima tumpe hongera.

Sijaona MP hata mmoja wa CCM ambaye yuko tayari kukataa Lunch box ya 1m na kuwaambia wenzake, kama mwenyekiti hakuwa tayari kupokea 1m km lunch kwani ni hongo, kunachakula gani cha sh. mil. 1, anastahili hata akiwa FM namfagilia sana, naamini nchi itabadilika, wacheni vijana wachukue usukani kwenye jahazi linaloyumba watawasaidia wazee kufika mahali palipokutegemewa.

Ushadanganyika, mimi sidanganyikiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Makamba sasa kurudia uawRC dar?naona nafasi hii ilikusudiwa ndo ikakaa wazi. Anyway,simuamini makamba ila January makamba bado naona anaweza japo ni kuwadi wa ufisadi kama yule mwandamizi wa cdm na mauza uza ya nssf na Dowans. Anyway,ila safu haijakaa kimapambano,cdm get ready!
 
Sidhani kama January Makamba kaiva kuichukua hiyo nafasi. Lakini kwa kufanya kazi na JK kwa miaka mitano iliyopita inaweza ikawa imemfanya kijana awe mkomavu na kuweza kubkabiliana na mchakamchaka wa ndani ya CCM, chama ambacho kinaelekea kupasuka vipande vipande.
 
Mpilipili hauzai machungwa hata siku moja. Mtoto wa nyoka ni nyoka; na gamba ililojivua halimaanishi kuwa CCM sio nyoka tena. JM sio sahihi kwani hana tofauti na wakina Ridhiwan na wenzake.
 
Hili mbona linawezekana......alafu si unakumbuka jamaa lilipotangazwa baraza la mawaziri aliropoka halijanyooka maana mwanae hajawa waziri na alishasema kuwa atakuwa waziri

Labda iko kwenye MoU ya yeye kukubali kuutema ukatibu mkuu...hii nchi inawatu wameshagawana
 
Back
Top Bottom