Cabinet CHADEMA naomba msome hapa

Mi nashauri Slaa aende kariakoo akanunue kanzu, atilishie na kibaragashia halafu aende BAKWATA aombe baraka zao.
 
Mi nashauri Slaa aende kariakoo akanunue kanzu, atilishie na kibaragashia halafu aende BAKWATA aombe baraka zao.
Omr, samahani naomba rudia kwa ufasaha maelezo ya mtoa thread!! Mtoa thread ameomba wenye MAWAZO ENDELEVU(gt), wamsaidie kuongezea pale alipoishia. Kama huna hoja (mawazo finyu) tafadhari tulia! BUSARA ZAKO MKUU!!
 
Peopleee's Power!! Naomba niwape pongezi uongozi mzima wa CHADEMA kwa mafanikio mliofikia huko Igunga, binafsi nayaita "mafanio," maana kuanzia 0 hadi maelfu ya kura ni jambo la kujivunia!

Ninayo mengi ya kuomba yafanyike kabla ya uchaguzi mkuu 2015, ila baadhi ni haya chini na mengine wadau wenye uchungu na nchi hii(mawazo endelevu) wataniongezea.

(A) Mkitumia sera zenu safi mlizo nazo, jitahidini kwa khari na mali kutoa elimu vijijini kwa kasi, maana vijiji vingi Tz bado wamelala, hawajajua maana halisi ya ukombozi! (e.g, fanya tathimini kati ya kura za Igunga mjini na vijijini).

(B) Taftieni ufumbuzi wa SUMU ya UDINI iliyoenezwa na mafisadi ktk kampeini za Igunga! Mimi nadhani kwa hili muwaite viongozi wa dini mzungumze nao na mfanye nao mihadhara ili kuondoa habari za udini ktk watu.

(C)Watembeleeni mara kwa mara na kuwashukuru wapiga kura wenu maana ndo mtaji wetu ktk ukombozi wa taifa hili.

(D) Fungueni ofisi za matawi nyingi hususani vijijini maana 2015 mtakabidhiwa nchi hivyo mpate pa kuanzia, (kiufupi mjipange kuongoza nchi).

(E) Boresheni mshikamano ndani ya chama, msimamo thabiti, maana ni dhahiri mnawindwa na mafisadi ili chama kififie(e.g, wamewaonga CUF chopa ili kuidhoofisha cdm)

"Nawatakieni kila la kheri Mungu yu pamoja nasi CHADEMA."

PEOPLEEEE's .....!
Nawasilisha.

Umenena..
 
Tunajua mtakuja na sababu nyingi sana kuhusu kushindwa kwenu kwani mliyotegemea sivyo. Mmetumia hela nyingi sana zipatazo tshs 1.345bn kwenye uchaguzi huo, na kwa taarifa yako chama kwenye akaunti zake hakina kitu kimeishiwa ' kimefilisika'.

Umepima akili siku za karibuni?
 
Tunajua mtakuja na sababu nyingi sana kuhusu kushindwa kwenu kwani mliyotegemea sivyo. Mmetumia hela nyingi sana zipatazo tshs 1.345bn kwenye uchaguzi huo, na kwa taarifa yako chama kwenye akaunti zake hakina kitu kimeishiwa ' kimefilisika'.

hata humu wapo...
 
Cdm wamejitahd,ccm nao wamefanya vizur pia..cha msing ni maendeleo jaman wananch wana maisha magumu sana.
 
Tunajua mtakuja na sababu nyingi sana kuhusu kushindwa kwenu kwani mliyotegemea sivyo. Mmetumia hela nyingi sana zipatazo tshs 1.345bn kwenye uchaguzi huo, na kwa taarifa yako chama kwenye akaunti zake hakina kitu kimeishiwa ' kimefilisika'.

Hawana shida hata kama wamemaliza kwa sababu huko nyuma hawakuwa na fedha ni miezi 10 tu tangu waanze kupata fedha toka serikalini Je wajua pia hazina hakuna pesa? Unajua kwa nini achana na kibanzi katika jicho la chadema.
 
Pia CHADEMA jitahidini muwe na ofisi zenye hadhi angalau ya wastani kwa kila wilaya,haya mabanda yaliyopo mawilayani yanawaangusha sana,hakikisheni ofisi zenu ziko wazi muda wote na zinafanya kazi.

Hiyo ruzuku ipelekwe vijijini,
 
Elezeni mna nini,sh ngapi mnapata,pesa za vikao chukueni alafu mupeleke vijijini,, na muwaeleze wananchi .
 
Mimi nijuacho kwa CHADEMA kule Igunga Kilikuwa kinataka kuthibitisha kuwa uchaguzi wa 2010 waliibiwa kura.Ndiyo maana walipeleka pesa nyingi sana ili washinde alafu waanze kulalamikia uchaguzi wa 2010.
hawa ndio wanaolala mchana halafu wanajikojolea cdm haikusimamisha mbunge 2010
 
naamini kuwa watu walioipigia chadema kura wengi wao ni waislamu hakika hili limejidhihilisha kuwa chadema siyo chama cha kidini
 
GeniusBrain..nyie mmetumia sh ngapi na mmbeakiwa na sh ngapi mafisadi?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom