DR SLAA ni Dr wa Kweli kwa kusomea na si wa kupewa!!!! isije ikawa unafikiri udokta wake ni chakupewa!!!!!!!!!!! DR SLAA NI DOKTA WA PHILOSOPHY with Dergees in Theology
na wewe mwongo degrees in theology slaa alizichukulia wapi
slaa ana certificates tu na kisha phd moja kwa moja tena miaka minne tu. ni kanisani tu unaweza kupata phd za namna hiyo
ila kwenye certificates zao wachungaji wanasoma mambo mengi ya maisha hata slaa ndio maana ni mzuri kuliko wenye phd wengi