Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 127
aaah ndio alipoipatia senkyu
DR SLAA ni Dr wa Kweli kwa kusomea na si wa kupewa!!!! isije ikawa unafikiri udokta wake ni chakupewa!!!!!!!!!!! DR SLAA NI DOKTA WA PHILOSOPHY with Dergees in Theology
PhD ya heshima. amesomea wapi hiyo heshima? na inatusaidia nini sisi?
Elimu ni pale tu unapoweza kupembua mambo, kuwa critical thinker, kupima na ku-dare to do what possibly right kulingana na upembuzi uliofanywa.
Sasa PhD ya Heshima inaweza kumuongezea mtu mambo tajwa hapo juu? Kama haiwezi basi ni "shake well"
Mnyonge mpeni haki yake jamani JK he was one of the best students pale mlimani na msidhani hiyo degree ya theologia inaweza kufanana na experience ya leadership ya JK. Niwaulize swali dogo tu JK ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani? na slaa ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani?
Doctor of Philosophy (PHD) in Cannon Law
Mnyonge mpeni haki yake jamani JK he was one of the best students pale mlimani na msidhani hiyo degree ya theologia inaweza kufanana na experience ya leadership ya JK. Niwaulize swali dogo tu JK ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani? na slaa ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani?
Kweli wewe ni mgeni, nadhani jibu la Magezi1992 limekutosha!Jamani ma Great Thinkers
Naomba kuuliza hivi Mheshimiwa Dr Slaa ana udokta wa nini (Fani gani)
Naombeni kufahamu
Unaweza kunieleza kwanini ni ujinga?
Kwani sina haki ya kuuliza kwa kile nisichokijua?
JK najua ana PHD ya heshima ambazo hupewa viongozi wengi na watu mashuhuri duniani hata Nyerere anayo. Na ni utaratibu wa vyuo vingi kutoa hizo PHD za heshima wakati wa mahafali.
Kizibao vipi hili lilishajadiliwa mara nyingi tu hapa ndani!Unajua tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mpaka uchaguzi wenyewe tulikuwa tunasikia rhetoric za watu wengi sana ya kuwa Dr Slaa ni Dr wa kweli na si mchakachuaji..lakini hakuna aliyetueleza historia yake ya masomo na amesomea Phd ya nini hasa ili na sisi kutuwezesha kumkubali kama ni Dr wa kweli na siyo akam wengine!
Hebu tuelezeni amesomea nini hasa na kama kuna publications zozote ambazo amepublish tuleteeni hapa kwani mimi nimejaribu ku google sikuzipta. na inanifanya niamini Slaa ni sawa tu kwa upande wa waislamu mtu ameenda kusoma saudi au misri kwa zaidi ya miaka 10 na huishia kuitwa ustadhi na kuwa imamu msikitini lakini kwa dini nyengine mtu huyo anakuwa msomi mkubwa sana insuch away anamwagiwa sifa kemkem za usomi wake katika jamii forums..
Unajua tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mpaka uchaguzi wenyewe tulikuwa tunasikia rhetoric za watu wengi sana ya kuwa Dr Slaa ni Dr wa kweli na si mchakachuaji..lakini hakuna aliyetueleza historia yake ya masomo na amesomea Phd ya nini hasa ili na sisi kutuwezesha kumkubali kama ni Dr wa kweli na siyo akam wengine!
Hebu tuelezeni amesomea nini hasa na kama kuna publications zozote ambazo amepublish tuleteeni hapa kwani mimi nimejaribu ku google sikuzipta. na inanifanya niamini Slaa ni sawa tu kwa upande wa waislamu mtu ameenda kusoma saudi au misri kwa zaidi ya miaka 10 na huishia kuitwa ustadhi na kuwa imamu msikitini lakini kwa dini nyengine mtu huyo anakuwa msomi mkubwa sana insuch away anamwagiwa sifa kemkem za usomi wake katika jamii forums..
unajua tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mpaka uchaguzi wenyewe tulikuwa tunasikia rhetoric za watu wengi sana ya kuwa dr slaa ni dr wa kweli na si mchakachuaji..lakini hakuna aliyetueleza historia yake ya masomo na amesomea phd ya nini hasa ili na sisi kutuwezesha kumkubali kama ni dr wa kweli na siyo akam wengine!
Hebu tuelezeni amesomea nini hasa na kama kuna publications zozote ambazo amepublish tuleteeni hapa kwani mimi nimejaribu ku google sikuzipta. Na inanifanya niamini slaa ni sawa tu kwa upande wa waislamu mtu ameenda kusoma saudi au misri kwa zaidi ya miaka 10 na huishia kuitwa ustadhi na kuwa imamu msikitini lakini kwa dini nyengine mtu huyo anakuwa msomi mkubwa sana insuch away anamwagiwa sifa kemkem za usomi wake katika jamii forums..