C.u.f mumeo c.c.m yupo hoi arumeru!

Chadema nao walikwenda kuomba ndoa Ikulu wakitaka kuwa mke wa pili wa CCM imeashaje hii? Posa ilikataliwa?
 
Munatafuta kwa kutokea? Kamsaidieni katibu wenu na kimada wake, full ufisadi!
 
Siwezi kuamini leo C.U.F kumwacha mwanandoa mwenza C.C.M anakufa Arumeru.nakushauri uende kumsaidia kama IGUNGA.
Du! CUF kweli ni WANYONGAJI wa democrasia. Week iliyopita walisidiwa na CCM na kutumia mbinu yao (CCM) ambayo ni ya kununua watu ili wahudhurie mikutano na Lipumba akapokelewa kwa mbwembwe ili waonekane wanapendwa na kuaaminisha wa TZ kuwa nao ni kama CDM.
 
hey who told u kuwa cdm wanalead arumeru? lets wait iyo cku april 1 tena ni ckukuu ya wajanja tutajua nani mbabe wa mwenzie ccm or cdm
 
Chadema nao walikwenda kuomba ndoa Ikulu wakitaka kuwa mke wa pili wa CCM imeashaje hii? Posa ilikataliwa?
avatar25401_1.gif
nikitaka kukutukana naangalia avata yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom