C-pati sauti on google video,dailymotion au youtube

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Najua mtaniambia ni codecs and so on

Nishadelete cookies kupitia CCLEANER na kila kitu lakini wapi

sikupata sauti

cha ajabu nikiplay MP3 au Music from USB napata sauti kama kawaida hebu nisaidieni
 
Najua mtaniambia ni codecs and so on

Nishadelete cookies kupitia CCLEANER na kila kitu lakini wapi

sikupata sauti

cha ajabu nikiplay MP3 au Music from USB napata sauti kama kawaida hebu nisaidieni
mku yategemea na location uliopo kuna nchi wameblock Youtube mfano...pia angalia pia kuna video kadhaa kwa sababu ya copyright youtube wameondoa sauti...
 
Jaribu kuinstall version latest ya flash, na unatumia Browser gani?
Jaribu nyingine, kama unatumia Internet Explorer jaribu firefox, kama unatumia firefox jaribu explorer.

Pia cheki kale kalevel cha volume kwenye video.
 
Back
Top Bottom