C.c.m waenda kuhiji mwanza

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
katika kusherekea miaka 35 ya C.C.M wana ccm wameamua kuhiji sehemu ambapo historia inaonesha eneo la Mwanza limewahi kuwa chini ya CCM kabla ya kukombolewa na CHADEMA. Wakipita kwa Mwenyekiti wakiwa wamevalia fulana za CCM na baadhi yao kuonekana wamevaa ndala na viatu vilivyochanika,hali inayoashiria ugumu wa maisha ya mtanzania wana CCM hawa walipita kumpa salamu Mwenyekiti wao.
 
Back
Top Bottom