"Bye Daddy"...... Dah!!!

dah, canty, usinikumbushe machungu! kila jioni akisikia geti tu linafunguliwa, lazima atatoa kasauti kake "dadie" huku anakuja mbio kuni hug! asubuhi kumuacha wakati ninakuja kwa mkoloni nako ni kasheshe ... am missing her "heavenly chums and mwaas" ... its touchy aisee ... ndio maana ninaelewa positions za babu na mbu kwa daughters zao!
Dah!kiukweli raha sana kupendwa na baba,
Ila wamama huwa hawaipendi kbs hiyo situation,
Mpaka sasa ata sielewagi ni wivu au basi tu!!!
Nasubiri wakati wangu nijionee itakuwaje?au nitajisikiaje?
 
Wajameni salaam kwa mpigo.

Ukubwa dawa wajameni......

Hii biashara ya mabinti na baba zao kuwa "washkaji" sijui imetokea wapi. Jana nlikapeleka kabinti kangu kapendwa shule kuanza maisha rasmi ya boarding. Shule imekomaa mabinti lazima wahamie hostel kwa ajili ya maandalizi ya "kufa mtu" ya mitihani ya kitaifa mwaka huu. Ikawa haina jinsi.....Sikuwahi kuwaza kabinti kangu kataenda boarding katika elimu ya msingi asee.....

Tumekapeleka haka kabinti nikiwa na mama yake.... wakati ndo tunamkabidhi kwa "wazazi wake wapya" kabinti kakatoka mbio na kunirukia na kuniambia "Bye daddy"... kisha hakooo kakatokomea..... Cha kustaajabisha, mamake alipewa bye ya mbaaaali lol

Hii "bye daddy" bado haijatoka masikioni asee.... kwamba ntarudi home leo bila kulakiwa na kamatesha kangu... damn!.... Na haya maisha ya mimi na mama Matesha wangu kubaki peke yetu nyumba nzima, si honeymoon nyingine hii wajameni? Atanikomaje?

Baada ya kusema hayo naomba msaada...... Eti kuna kitu gani kinawafanya mabinti "wazimike" namna hii kwa baba zao? Ni kwanini mababa wengi nao pia wanakuwa kama "wamelogwa" na mabinti zao? (Hapa ODM nakiri, vibinti vyangu navizimikia kinoma asee... tena haka kamatesha ndo usiseme.....)

Bye Daddy... dah!


Bye dadii!
 
Dah!kiukweli raha sana kupendwa na baba,
Ila wamama huwa hawaipendi kbs hiyo situation,
Mpaka sasa ata sielewagi ni wivu au basi tu!!!
Nasubiri wakati wangu nijionee itakuwaje?au nitajisikiaje?

that is nature my dia, kuna mtu ameilezea vizuri tu hiyo hali, just prepare yourself for the best!
 
Sijambo Anti. Niko busy kidogo naosha vyombo hapa, ila nachungulia pia jukwaa kimachale machale.

Hakikisha vitakate.... andaa na chakula cha jioni... Usisahau chai ya mjombako jioni.....lol

Sikujua kumbe hata mie wanioneaga wivu lol

Tatizo na wewe ODM sifa zikikuzidi utaanza kuongea Kichina hapa.....lol

..asee ashadii apo juu umenifurahishaaajeeeeee?


Yaaan Teamo hujanitendea haki kabisa.... Bado sielewi ipi hasa imekufurahsha (ili nirudie siku nyingine) mana nimepost nyingi....:biggrin:
 
sikuwahi ona hilo aisee, honestly i always was defining u the other way round! ... deeply sorry!
kwa kweli na-deserve hiyo sorry........... I am so gender sensitive!
ni mke na mama wa watoto 3, hako kawifi ka Matesha tunakogombania DAD, mume mtarajiwa wa Matesha (ha haaaaaaaaaaaa, baba Matesha, nadhani deal bado lipo intact) na shem wa Matesha
 
Back
Top Bottom