"Bye Daddy"...... Dah!!!

Hahahahah!
Ndio km na ww unavofaidi kwa matesha,
Wababa wanakuaga washkaji sana sio wanoko km wamama,
Hela habanii hawana mambo ya kusema ukizoea pesa ni vibaya km mama,
aisee kupendwa raha sana,naimajin hiyo siku ya kusema Bye Dady!!!!

Hahaha.... kweli saa nyingine madingi tunalemaza watoto bana. Mama anampa hela na mkwala kibao, we unamwita chemba unamwongezea kiaina....
 
Hahaha.... kweli saa nyingine madingi tunalemaza watoto bana. Mama anampa hela na mkwala kibao, we unamwita chemba unamwongezea kiaina....
Yan umenikumbusha bana,siku moja nilikuwa ndio shule zimefunguliwa ile asubuhi ndio nasindikizwa alafu mama alishastukiaga kuwa wakati wa kuagana lzm baba anifanyie mpango wakati wa kuhug ananipa na hela lol,
Siku hiyo mama alikomaa mpaka baba akashindwa kunipa ile hela,nilipopanda kwenye basi baba akaja dirishan akarekebisha alafu mama akaiona lol wakajikuta wote wanacheka sana!!

Hii mpaka kesho ikikumbushiwa pale nyumaba huwa tunacheka sana aisee,
Yani nampenda sana yule mzee aiseee!!!
 
Mkuu asante sana
Kwa wengine waliochangia asante sana
na hili ni somo kwetu sisi ambao tunaanza malezi kujua ni wapi tusimame na nini tufanye kwa watoto wetu haswa wa kike
AshaDii asante sana kwa uzi wako

R' unajua hapa sijakupata unanishukuru kwa uzi upi?

Oedipe Syndrom...
Shkamoo Babu na Anti.

Marhaba... hujambo?

FP ... noted!

"bye daddy!" @ babu

acha uvivu, unaenda wapi? (hata kama sio babuyo...lol)
 
..hongera sana we mzee!..

..sasa hapo juu naungana na mj1 na deeiiina amseeeiii kwenye kuhoji hilo swala la "...mama matesha atakukomaje...?"...nasema iiviiii...."...teeeeiiiinaaaaaaaaaaa..!haloooooooooooo...ooooooooh"

atakukomaaajeeeeeeee?!
tasker malt zitakumisiiiiiijeeeeeee?!
mabaameed watakuliliaaaajeeeee?!
wahudum wa gest watakukumbukaaje?!
mary munisi wa mapinga atakuliliaaajeee,!?
tongori lodge watanunaaaajeeee?!

heheheheheeeeeeeeiiiiiiyaaaaaaa!
 
AshaDii kwa mchango wako kwenye uzi huu na sio thread. Kuna mchango umetoa kwenye hii thread ya Babu umekaa mahali pake
Sorry sikuucopy na kuuweka kwenye maandishi yangu
 
I see some bragging hapa ikichukua mkondo.....lol.... Message itafika kwa mama Matesha.


Katika Ulezi mara nyingi akina mama tupo strict saana kwa watoto hasa wa kike. Baba nae anaweza kua strict lakini sio kwa level za mama. Mimi kama mama - na hasa tokana na makuzi kua mtoto wa kike lazima a master kila kitu nyumbani.... Inakufanya utake the same for your kid. Utahakikisha wakapangia responsibilities tokana na level ya Ukubwa wake, toka kupika chai hadi kupika ugali, toka kusuza kikombe hadi kuosha vyombo, toka kufuta maji yalo mwagika to the level ya kupiga deki. Mara nyingi (for hata mimi ilikua hvio) unaona kama mama ni mnoko fulani, hakupendi, anapenda tu kukutumikisha na the like....

Baba yeye akiwa na mtoto wa kike anchowaza cha kwanza ni jinsi gani amtimizie binti yake asifanyiwe na ma bazazi yale yeye baba afanyavyo kwa watoto wa wenzie, ama dada wa wenzie na wanawake woote. Wanaume wengi wanaamini kua toka utoto akidhibiti penzi la mtoto wake wa kike na kumtimizia kila kitu mwanae walau ataepuka kikombe cha kurubuniwa huko mtaaani (Yes it helps to some extent) but ukweli unabaki pale pale no matter how she Loves you... She will eventually fall in love.... Kwa muktadha huo yeye binti huona kua baba is the best parent, lolote atakalo apewa, anadekezwa na baba anamjali na kumuulizia kila saa.... Tena sa ingine hata hua amwambia mama kua ampunguzie kazi.....

Na nature tu, wa kiume kwa mama wa kike kwa baba.... Mtoto wangu wa kiume.... ni mdogo, ana wivu huyo hataki kabisa mtu mwingine apate attention yangu hasa kama ni opposite sex.... anakua mkali kabisa na tu amri twa hapa na pale....

...ohooo,

Dada'ngu, it's to early kuleta nyimbo mbaya bana, I can't imagine ka princess kangu kana fall in love kiasi cha kuacha kunisikiliza aisee, eti Aspirin unaonaje? tayari ushaanza fikiria mume atayekuwa anamlamba makofi binti yako
?
 
AshaDii kwa mchango wako kwenye uzi huu na sio thread. Kuna mchango umetoa kwenye hii thread ya Babu umekaa mahali pake
Sorry sikuucopy na kuuweka kwenye maandishi yangu


Huna haja ya kusema Sorry, (genuinely nilifikiri umetoka nje huko ukasoma thread yangu ndio ukatoa pongezi hapa, nikataka kujua ni ipi); kumbe ulikua na maana post.... Nashukuru for the acknowledgement on the post.... THANK YOU.
 
Hii research sijui nani atajaitolea exact answer. Nilimpenda sana mama yangu.
 
...ohooo,

Dada'ngu, it's to early kuleta nyimbo mbaya bana, I can't imagine ka princess kangu kana fall in love kiasi cha kuacha kunisikiliza aisee, eti Aspirin unaonaje? tayari ushaanza fikiria mume atayekuwa anamlamba makofi binti yako
?



hahahaha..... She will always be you baby gal to you hata awe 50. FYI love ni natural, nakumbuka my first love was when I was 9/10 hivi.... Hivo kama tayari yupo age izo kuenda mbele.... hahahaha..... No comment!
 
Huna haja ya kusema Sorry, (genuinely nilifikiri umetoka nje huko ukasoma thread yangu ndio ukatoa pongezi hapa, nikataka kujua ni ipi); kumbe ulikua na maana post.... Nashukuru for the acknowledgement on the post.... THANK YOU.

Nope
Sikutaka kuchakachua thread ya Babu maana namjua alivyo mkorofi
Thank you
 
...kulaaalekiii...tafsiri yako pia ni kwamba utakuwa unawahi kurudi nyumbani..yani saa kumi na mbili jioni wewe na kuku na bata na mbusi na ng'ombe mnatakiwa muwe ndani..!

jamani jamani..baa-mupya "tutakumisiiiiiiijeeeeee?''
 
Woote mko sawa na mnachokizungumzia ni kama Prof Fraud alicho gunduwa kwenye extensive research alizo fanya. In short, Mabinti wanao kosa mapenzi ya baba utotoni wana tendency ya kuwa prostiututes. Looking for the missing fatherly love kwa clients wao. The same is true kwa watoto wa kiume waliokosa motherly love wana kuwa womanisers. It is not a freak of nature but that is how we were created. We just have to deal with it.
 
Nili kumiss alafu ukawa waondoka.... Si unajua nikiwa kwa shem yangu niko relaxed kabisa siogopi mikwara ya mwenye thread? lol Nimeacha lakini...

hahahaaaa ... i love u with passion!
pal, kiukweli babu anajua "kulea" ... he is a gud daddy!
ameonyesha njia na mfano mzuri kwa wajukuu, nampa kudos for that!
 
Good for youm ODM, lakini pole kwa kumpeleka bintiyo boarding, inaumna sana nahisi.

Ila kwa jinsi nilivyo-protective kwa watoto, siwezi ruhusu binti yangu am-hug hug baba yake au akae miguuni pake.
I don't know why, sijui hata kama niko sawa lakini nakuwa uncormfortable sana.

Wakati mie I can hug my sons.
 
Back
Top Bottom