Bye bye...........!

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,136
13,258
Ndg zangu.
Nawapenda wote ila nasikitika kuwaambia kuwa 2taonana tar 15 . Ingawa baba kasema 2kacheze kwa majirani ila kweli kule ha2japazoea kama hapa home! Kwaherini.
 
dah haka kalikizo sijui nitakamalizaje na mvua hizi kushinda home bila JF mbona itakua balaah
 
Kalikizo ndio kameisha,ambako kwa upande wangu siku 2 za mwanzo niliugua but nilipoenda kule kwa jirani nikakutana na ndugu wengi wa huku na nikaendlea na maisha japo hapanogi km hm,
Ndipo nilipogundua JFni home sweet home karibun tena!
 
nrifurah kukuwona kure kwengne.nirijickia burudani mpaka kumoyo. Ghafra rimoyo rikataka kukudondokeaga ira nkakumbuku kuwa wewe ni shemeji.. U hari gani Cantalisia?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom