Bye Bye Wigi................

Jamani tusitukane viongozi wetu namna hii hata kama wanamadhaifu bado wanahitaji heshima.

Big Brother is watching na wote huku tunafahamika tusijidanganye na majina bandia, ni vizuri tukijadili hoja badala ya watu kama alivyosema mchangiaji mmoja.
 
Mheshimiwa naomba usirudie wigi. wengine wakivaa wanakuwa kama mwanasesere
 
tatizo bado kwenye rangi za kucha, asipopaka nyekundu anapaka nyeusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom