Bye bye- i love you all-mwaaa!

....kwaherini jamaaa naondokaaaaaaaaaaaaa ..kwaherini jamaa naondoka..kwambaliii bahariniiii mawimbi yananipeperushaaaa.......iyaaaaaaaiaaa!!!!!
wakati kipeperuka,
peperukia ukingoni,
waambie nakuja,
wote waliontangulia
hahahahaa!!!!
 
waenda peponi nini
ama ndio ushachukua nyota zetu unashangilia ushindi
yarabi z.....likujualo alikulki likakw........
am kidding bra kila la kheri natumaini utakuwa kijijini pasipo na mtandao else ukiingiamjini si mbaya kuwakumbuka maahabuba
hakuna aliyenifaa kwa nyota
hivyo shaka ondoa
hata huko peponi natamani kwenda,
ila hakuna chalari, umberere wala irembwe
 
tutakumiss mbaya ila isije ikawa mambo ya kujitolea mwana hilo sitaki maana nilienda kijiji fulan yaanii wameja walimu wa kujitolea mlo mara moja ukifika mgeni wanakuona kama rais mtarajiwa kila la kheri ndugu yangu nami nikumbuke kwenye kaufalme chako.....kisiwe peponi mmhh uko bado
asante mpendwa usihofu august najaa tena kwa nyumba
 
Back
Top Bottom