Bye bye DSTV!

Mkuu Ibrah:

Bila TBC(1 or 2) kuwa na "Sports Channels" bado DSTv wataendelea "kula vichwa": Kwa ujumla "audience" ipo interested na:

1. Sports
2. Drama/Movies
3. Others

DSTv bado wanaongoza kwa item(s) 1 and 2.

Hilo la kwanza nakubaliana nalo lakini Drama/ Movies zipo za kutosha kupitia MGM na SVE.

TBC kuna Dicoveries na BBC kama ilivyo DStv. Ukiondoa hizo channels za michezo, kwa wenzetu ambao kwao michezo si kitu cha kuwafikirisha au kuwakosesha raha TBC is better off na ndiyo maana DStv wamepunguza bei kwa channels ambazo si za michezo maana pia waweza kuzipata kupitia TBC.
 
Ibrah, channel pekee zilizokuwa zinauza GTV decoders ni zile za English Premier League, lakini zaidi ya hapo hawakuwa na michezo mingine kama ilivyo DSTV na ndiyo maana walionekana nafuu. Ni kwa sababu wao waliangalia tu EPL, with time kama wangetafuta rights za michezo mingine kama DSTV wasingecheza mbali katika subscription fee.

Ndiyo maana nasema Kitu Bora ni Ghali.
Sio kweli mkuu GTV walikuwa na Ligi ya Itali, walikuwa wanaonyesha FA CUP wakati huo DSTV walikuwa hawana na walikuwa na GTV AFRICA kwa ajli ya sinema za kiafrica walikuwa na ZEE CINEMA kwa ajili ya filamu za kihindi na channel nyingi tu
 
TBC wametupa raha sana kwa king'amuzi kile huna haja ya dish ni antena tu.
Tunalipia kwa bei cheeeeeeeee.
 
Kama ungekuwa unajuwa chaneli za dstv usingesifia tbc mapema hivi..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Bado wana safari ndefu.
 
Too early to put this on the table. I might agree with this congrats to Startimes but it will take time for them to reach DStv standards. And remember this is business, they started at TZS 9,000 p.m., (US$ 6) now 13,500 p.m. (US$ 9), slowly they will reach US$ 60 or 70.

All in all, a good start to Startimes.
 
Muache unazi zama za DSTV kudominate kila kitu zimeisha ndo maana ata wao wamerspond kwa kushusha ilo halina ubishi.
Alafu sio kila mtu ni fan wa michezo so option ya TBC ni nzuri nakumbuka 2007 mpka nilipoacha DSTV nilikuwa nalipa dola 25 monthly package ambayo kawa sasa imepungua.
Kama nataka kuwatch game najiunga na washikaji bar ndo inanoga uku home wanakula TBC package.
Tido alisema huu ni mwanzo by year end coverage itakuwa
Big up TBC angalau kuwa na kingamuzi nowdays sio anasa but still waiting changes katika sector ya umeme

secta
 
Wanaotetea dstv wanatetea kuliwa hela zao. Hakuna jambo ambalo limeanza kama kufumba na kufumbua na likadumu. Tbc watafanya kile watazamaji wanataka. Hata hiyo dstv haikuanza na chanel zote mnazozipenda, so its a matter of time for tbc1. Nao wanaoponda partnership na uchina wajue kuwa haukuanza leo japo si kama ule wa enzi za mwalimu. Wajue pia china inagombania nafasi ya pili duniani kiuchumi
 
ur day dreaming......hakuna state own tv yeyote inayoweza kushindana na NO.1 CABLE/SATELLITE TV STATION IN THEIR COUNTRY.PERIOD.nenda popote duniani.FYI DSTV is one of the best in the world......tafuta ujue DSTV wananunua package ya EPL FOOTBALL kwa kiasi gani,BET,MTV etc.....ukishajua hilo njoo hapa weka ndoto zako za TBC kushindana na DSTV....laba watumie kodi zenu zote ku-improve hio TBC.
 
no 1 ya babaako? Nimesema kila kitu kina muda wake. Tbc ndo wameanza hata mwaka hawana. Dstv wapo muda mrefu. Sifia vyako ndugu
 
no 1 ya babaako? Nimesema kila kitu kina muda wake. Tbc ndo wameanza hata mwaka hawana. Dstv wapo muda mrefu. Sifia vyako ndugu

hapana,ni ya mamaako.....unalinganisha vitu viwili tofauti....tbc state owned tv station.....dstv privately owned........dunia nzima hakuna tv ya serikali inayoweza kushindana na privately owned satellite tv network....thats a fact.sisiifi ujinga hata uwe wa nyumbani kwangu.wape tbc muda uutakao they'll never be like dstv and the likes.....
 
wajameni mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!

hapa kuna mambo muhimu ya kuangalia mfano:

1) Mapinduzi yaliyoletwa na TBC/Startimes katika uangaliaje wa televisheni..zamani ilikuwa kwamba kuwa na DsTV ni kama ujiko flani na kama walivosema wengien ilikuwa inawakilisha watu wa 'class' fulani hivi...sasa hivi kuwa na king'amuzi cha startimes walau sio ajabu tena...walau kwa wale ambao wanafikiwa kwa sasa, DODOMA, DAR, MWANZA na Arusha.

2) Wenye DSTV sasa hivi, hata kama wanalipia 'chanel 25' lwa 13500 kwa mwezi bado ipo juu kulinganisha na startimes ambapo unapata channel zaidi ya 40 (mfano nina kama 48 hivi kwa sasa) kwa sh 9000 kwa mwezi. Kumbuka katika hizo channel pia zipo za filamu, michezo, muziki, watoto nk

3) Huhitaji watu wa startimes kuja kukufanyia installation manake hakuna dish..ni ka antenna kadogo tu mchezo umeisha. So kwa watu wa DSTV mauzo ya madish and the so called 'package' sasa hivi yatakuwa yanashuka

4)Tuendako, hata hizo channel za sports za super sports, zitakuwa zinaonyeshwa pia na TBC hivyo kuweka competition kubwa kabisa kwa watu wa DSTV. no wonder wameshusha bei gafla baad aya star times kuanza na huo ni mwanzo tu

5) Angalizo jingine ni kwamba TBC ni public owned sio state owned.
 
Back
Top Bottom