Bye bye CHADEMA, nimejivua gamba rasmi

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi kadi.

Nawatakia mafanikio mema katika mbio za sihasa.
Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Kwa muda wote uliokuwepo Chadema ni nini cha kujivunia umeifanyia?
 
Nyinyi ndio mnapenda kuwapa mods kazi zisizo za msingi. Hii sio international issue! Ningependelea iende chit-chat. Na sio hapa kwenye international forum!
 
nani kakwambia Chadema kuna watu wenye magamba? Labda hujui unatoka chama gani.
Chema chenye watu wenye magamba ni kimoja tu hapa Tanzania.
Naomba nikukumbushe tu, Kauli za mwenyekiti wa CHAMA ndio ukweli kuhusu Chama husika.
Hapa Tanzania ni chama kipi mwenyekiti amekiri kuna wenye magamba?
 
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi kadi.

Nawatakia mafanikio mema katika mbio za sihasa.
Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

we not enough ni ki2 gani hasa kimekukimbiza cdm? Afu mbaya zaid uko kwenye mkoa ambao ushapovuka na kufunguka macho kwamba wanajua nini maana ya cdm! Au unapenda ku ANGUKA zaid?
 
NOT ENOUGH,umekuwa kinyonga nini? Nenda chama cha MAJAMBAZI bila shaka unaweza ukapewa nawe silaha huko nawe ukaanza kazi chap. CDM TUPOOOOOOOO!! MPAKA KIELEWEKEEEEE3EEÈE3EEEEE! Down V/s Up,patachimbika.
 
nani kakwambia Chadema kuna watu wenye magamba? Labda hujui unatoka chama gani.
Chema chenye watu wenye magamba ni kimoja tu hapa Tanzania.
Naomba nikukumbushe tu, Kauli za mwenyekiti wa CHAMA ndio ukweli kuhusu Chama husika.
Hapa Tanzania ni chama kipi mwenyekiti amekiri kuna wenye magamba?

Achana na NOT ENOUGH, inaelekea hajui anachokitaka maana hata post zake juu ya maisha yake binafsi zina utata mtupu. Fuatilia post zake kwenye Mahusiano na Mapenzi utaelewa ninachomaanisha.
 
NE una attention seeking disorder...sio bure nikiangalia mada zako mnh....
 
HATA NDOA NAONA INAKUSHINDA TARATIBU UTAANZA KUMUIBIA HUYO MR WAKO, KWA MWENDO HUU

CHECK MAMBO YAKO HAPO CHINI

NOT ENOUGH
Yesterday 04:31 PM #1
JF Senior Expert Member

Join Date : 8th December 2010
Posts : 279
Thanks
1
Thanked 22 Times in 15 Posts
Rep Power : 20
Sipendi tabia ya shemeji yangu
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?
 
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi kadi.

Nawatakia mafanikio mema katika mbio za sihasa.
Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Nina chama cha Siasa but very kichanga.. toa sababu za kujitoa huko then I will consider uwe mwenyekiti....
 
HATA NDOA NAONA INAKUSHINDA TARATIBU UTAANZA KUMUIBIA HUYO MR WAKO, KWA MWENDO HUU

CHECK MAMBO YAKO HAPO CHINI

NOT ENOUGH
Yesterday 04:31 PM #1
JF Senior Expert Member

Join Date : 8th December 2010
Posts : 279
Thanks
1
Thanked 22 Times in 15 Posts
Rep Power : 20
Sipendi tabia ya shemeji yangu
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?

ha haa haaaa .... NOT ENOUGH bana ..... namshauri akamshitaki huyu jamaa TAKUKURU
 
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi kadi.

Nawatakia mafanikio mema katika mbio za sihasa.
Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Ama yaani wewe ulikuwa CHADEMA na gamba? Nani alikuambia CHADEMA kuna magamba? Nadhani ulimaanisha CCM...karibu CHADEMA baada ya kuvua gamba sasa la CCM na jaribu kuedit post yako
 
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi kadi.

Nawatakia mafanikio mema katika mbio za sihasa.
Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa.[/QU

Tuambie unamvuto wowote katika siasa? Kama basi mi na rafiki yangu makota tunaingia kuziba pengo. Kila akitoka mmoja wawili wanaingia
 
HATA NDOA NAONA INAKUSHINDA TARATIBU UTAANZA KUMUIBIA HUYO MR WAKO, KWA MWENDO HUU

CHECK MAMBO YAKO HAPO CHINI

NOT ENOUGH
Yesterday 04:31 PM #1
JF Senior Expert Member

Join Date : 8th December 2010
Posts : 279
Thanks
1
Thanked 22 Times in 15 Posts
Rep Power : 20
Sipendi tabia ya shemeji yangu
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?
huyo ni drama cr@p tu, she is just an attention seeker
 
Not enough will never get enough!! huyu demu wala hajawahi hata kuwa mwanachama wa CDM! good luck!
 
Back
Top Bottom