By Mzee yousufu Makamba (aliyekuwa katibu Mkuu CCM)

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Kama sitokosea ilikuwa ni mwaka juzi, Mzee huyu (yousuf Makamba)akiwa zanzibar katika kampeni na kuimarisha chama akihutubia maelfu ya wananchi alisema haya yafuatayo namnukuu hapa: Kama kuna mtu anataka Biashara zake ziende vizuri basi ajiunge na CCM mwisho wa kumnukuu, ukichukuwa hayo maneno ya aliyekuwa katibu mkuu wa CCM wakati ule na kuangalia hali halisi ya uchumi ilivyokuwa inaendeshwa na matokeo yanayojitokeza hivi sasa utaelewa umekuwa unaongozwa na unaendelea kuongozwa na uongozi wa aina gani, mwisho nitapenda nikukumbusheni ndugu zangu wa Tanzania (This is not one man show)
 
ndio maana chama chao kimejaa wabunge na mawari wafanyabiashara na upande wa mawaziri unafikiri katika maamuz na sera zote wanaunda ni kumkandamiza mwananchi wa tanzania na wao ndo kupata zaidi kujenga miradi mbali mbali kama hao wakina mambo ya nje na hotel mtwara kinchotakiwa ni kutoa selikari madarakani bathi na kuwa na serikari mpya na mikakati mipya nimeichoka serikari ya jk.
 
Jana nilimuona pale Kilimani Bar Temboni,na VX lake... Alikuja kuchukua Nyama Choma ya Mbuzi... Wachaga walevi wakampokea kwa Kelele za Simba*20 akataniana nao kwa muda akaanza,ukimya wake umemsaidia kwani kule ni NGOME KUU YA CDM
 
Back
Top Bottom