By-election

Bluebird

Member
Mar 25, 2009
28
0
Naomba ufafanuzi. Katiba yetu ina maelezo gani kuhusu uchaguzi mdogo (by-election)? Hivi ni kweli kwamba kama ikitokea opportunity ya by-election muda wowote ule, chama kinaruhusiwa kumsimamisha mgombea yeyote wanayetaka regardless of his place of domicile, mradi kwamba amepitishwa na Chama chake. Kama hivyo ni kweli, kwa wale wenzangu wanaom-support Dr. Slaa, basi upo uwezekano wa yeye kuingia bungeni kama (a) mojawapo ya hizi kesi zilizoko mahakamani zitamwengua mbunge aliyepitishwa au (b) kama mbunge yeyote ataacha for any reason. Je, hii assumption yangu ni correct? Naomba ufafanuzi.
 
Hapana Dr Slaa Chama kimempa majukumu mengine ya muhimu. Si rahisi tumruhusu kuja Dodoma. Ila kwa swali lako inawezekana. Unakumbuka issue ya Mrema Lyatonga na ubunge wa Temeke?
 
Naomba ufafanuzi. Katiba yetu ina maelezo gani kuhusu uchaguzi mdogo (by-election)? Hivi ni kweli kwamba kama ikitokea opportunity ya by-election muda wowote ule, chama kinaruhusiwa kumsimamisha mgombea yeyote wanayetaka regardless of his place of domicile, mradi kwamba amepitishwa na Chama chake. Kama hivyo ni kweli, kwa wale wenzangu wanaom-support Dr. Slaa, basi upo uwezekano wa yeye kuingia bungeni kama (a) mojawapo ya hizi kesi zilizoko mahakamani zitamwengua mbunge aliyepitishwa au (b) kama mbunge yeyote ataacha for any reason. Je, hii assumption yangu ni correct? Naomba ufafanuzi.
Kazi aliyonayo Slaa PhD ni kubwa kuliko kuwa bungeni kwanza anaimarisha chama vijijini pili anaongoza mchakato wa katiba nje ya bunge, sorry yuko busy.
 
Thanks Kaa la Moto na Facts1. Fair enough. Nakubaliana na nyie. Huyu kiongozi wetu mradi anao vijana wake kule Dodoma, aendelee kukikuza chama vijijini kwetu.
 
Back
Top Bottom