Bwire Mugeta anatafutwa kwa wizi

Hela yenyewe 470,000/- sasa hiyo zawadi nono ni ngapi ? au ndio 10% ambayo ni 47,000/- ?
 
Unapiga mkwara wa kumtoa magazeti yote mbona gharama itazidi hizo 470,000/= bora umeache tu naona kama hoja huna kilo 4 ndio zinakutoa roho?
 
Dah kweli dunia ina mambo! Hivi ni laki au bilion? Hiyo zawadi nono ni kiasi gani?
Oky mi najua alipo na nauwezo wa kukukamatia vp una 2milion ya kodi ya meza kama ninayo mwachiaga mama koku nyumbani?
Kama ipo sema kesho nitakuletea mtu wako na helkopta yangu popote pale upo!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Waungwana salaam,
Bw Bwire Mugeta
Alikopa fedha jumla ya 470,000/= na alihaidi kulipa ndani ya siku saba lakini hadi leo hajafanya hivyo, huyu jamaa amekuwa sio mstarabu fedha hizi alikopa mkoani shinyanga 28/01/2010 akiwa kama mfanyakazi wa UNV-UNDP kama NUNV SPECIALIST.SASA kwa sababu ameamua kumwaga mboga nami nitafika ofisini kwao kuchukuwa hatua.kama anajuwa huko aliko nampa 7 day ani PM zikipita nitamtoa kwenye magazeti yote.
NB: nimefungua majarada Polisi Central Shy na central Dar

Zawadi nono kwa atakae fanikisha kukamatwa

zawadi nono ya kiasi gani? Maana hata hela unazomdai hazitoshi hata kuifanya weekend yangu na mrembo yeyote hapa JF kuwa tamu
 
Huo ushamba na ukosefu wa busara mkubwa, yaani laki nne ndio ufanye unyama kama huo? labda useme kuna lingine na sio laki nne au labda kama umekosea hizo figure lakini kama ni kweli basi huna busara, si kwamba na mtetea huyo mdeni wako but umeonyesha udhaifu mkubwa sana ktk jamii, pls nakushauri tafuta namna nyingine!
 
Hapa sio mahali sahihi kwa kufanya hivyo kama mtu mmoja alivyosema kwamba tunatumia jukwaa vibaya tena wewe uliyeleta ruhuma hizo umetumia jina bandia kumdhalilisha mwenzako nawewe ungekuja na jina lako halali kama ulikuwa unataka haki .
 
halafu yeye amekopa hajaiba huwezi kumwita mwizi hata ukienda polisi mtaandikishana jinsi ya kulipana tu sio zaidi ya hapo , pengine wewe ndio utashitakiwa shauri zako .
 
hapa sasa ndio unakuja jua kuwa bongo madaraja kati ya alienacho na asiyekuwa nacho..
 
Back
Top Bottom