Bwiiiiiiiiiiiiiiiiiii

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
179176_316730831742553_347869083_n.jpg

Mdudu anabostola, asogee mtu uone cha mtema kuni
 
kweli sasa hivi JAMII PHOTO, Inachekesha kuliko hata JOKES corner. kule ubabaishaji mwingi, hapa unaone live unakwayuka kwa kwa kwa kwaaaaa
 
kweli sasa hivi JAMII PHOTO, Inachekesha kuliko hata JOKES corner. kule ubabaishaji mwingi, hapa unaone live unakwayuka kwa kwa kwa kwaaaaa
Dah, mkuu toka hili Buzi livamie jakwaa limenoga kwelikweli, big up Mbuzi mzee.
 
Huyu dawa yake mnamchinja akiwa tungi hivyohivyo. Mkila nyama yake wote mnalewa hamna haja ya kununua Konyagi.
 
Back
Top Bottom