Bwana yesu asifiwe wana jf wote!

Ameeeeen, karibu sana ila una mambo wewe, unakuja kujitambulisha katika jukwaa la malove.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
cacico, madame, karibisheni mgeni...kuna chai na karoti..karibu mkuu
 
Hodi jamani humu ndani! mimi mgeni wenu naomba mnipokee. mnielekeze na kuniongoza mpaka niwe mwenyeji! sawa jamani?

  • :lol:
    • :juggle:

Karibu huku mlango wa nyuma twala tende na halua! Karibu shakhe ila usisahau kuja na msuli wako
 
Back
Top Bottom