Bwana amenituma kuja humu!

GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,279
126
wakulu, nimeamua rasmi kuwa mmoja wenu, hii yote ni katika jina la uwazi, ukweli, spidi na viwango

msisahau kunikumbusha protokali ikiwa nitaenda ndivyosivyo
 
Karibu sana, labda bwana Yesu amemtuma kuja kuhubiri injili. Karibu sana tena sana tupo tayari kusikiliza neno bwana huyo aliyekutuma kama ndiye.
 
bwana wa mitandao, mijadala, ukunaji kichwa, na uchambuzi

bwana yuleyule aliyewatuma nyinyi kuja humu
 
Achana na semenya.anza na wewe mwenyewe kujitambulisha kama ni she au he ili mchumba Xpin na wapwa zake wasihangaike kuuliza.

is this the right place kwa watu kutafuta wachumba, nilidhani mnasehemu ya mapenzi na ghasia zake zote mahali pengine
 
Ebwanee karibu sana wewe mwombe Invisible akupe mwongozo wa JF yaani sisi hapa ndo nyumbani huko kwingine tukiingia tunaona hakufai hujachelewa JF ndo mtandao bora kuliko yote Tanzania.
 
Ebwanee karibu sana wewe mwombe Invisible akupe mwongozo wa JF yaani sisi hapa ndo nyumbani huko kwingine tukiingia tunaona hakufai hujachelewa JF ndo mtandao bora kuliko yote Tanzania.

asante maana huu nao pia mwongozo

invizibo, nipe mwongozo mkuu, watu wanapotaka kujua if i am a he or she nini hasa matumizi yake
 
Back
Top Bottom