Bw. vijisenti kuachia ngazi wiki ijayo?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
tetesi nilizonazo ni kuwa Bwana vijisenti ameaafiki maamuzi ya CC CCM na kuwa ataachia ngazi zote ndani ya ccm na serikalini wiki ijayo......hususani Ubunge.....hili llitamwacha lowassa katika njia panda kwa sababu ataonekana ni pekee yake aliyekiuka maagizo ya cc kuhusiana na dhana nzima ya kujivua gamba...................................

nionavyo Bwana vijisenti kaamua kutii ili kulindwa asishitakiwe...........
 
Aende mwana kwenda kesha tuibia saaana tuuu, kwanza na hivyo vijisenti vyetu aturudishia tukizichanga hatukosi hata jenerata moja la MW 100
 
mhh katika mapacha watatu mwenye jeuri,majivuno na mbishi kuliko wote ni huyo Chenge wanaye huyo all the way sidhani kama ataachia kirahisi hivyo!
 
tetesi nilizonazo ni kuwa Bwana vijisenti ameaafiki maamuzi ya CC CCM na kuwa ataachia ngazi zote ndani ya ccm na serikalini wiki ijayo......hususani Ubunge.....hili llitamwacha lowassa katika njia panda kwa sababu ataonekana ni pekee yake aliyekiuka maagizo ya cc kuhusiana na dhana nzima ya kujivua gamba...................................

nionavyo Bwana vijisenti kaamua kutii ili kulindwa asishitakiwe...........
Chenge kiburi sana huyu jamaa...nadhani wote mnakumbuka ni huyuhuyu chenge alipoulizwa kwa mara ya kwanza kuwa anahusishwa na kashfa ya rada alikana ana ameendelea kukana hadi leo kwa kutumia usemi wake wake maarufu kama hizo ni vijisenti tu....huyu jamaa Gaidi sana tena ingekuwa vizuri akashtakiwa na msimamizi wa kesi hiyo apewe Tundu Lissu au Mabere Marando uone moto wake
 
Jamaa linaniudhi sana,jizi,firadi na kubwa kuliko ni jeuri na mbishi utafikiri paka alivyomgumu kufa.bora lifungwe tu.
 
Nilifikiri nina chuki binafsi juu ya hiri Rizee la vijisenti, kumbe wote mnaliona hvyohivyo.! Kiburi sana hili jamaa
 
mkuu uko sawa kabisa na kapanga anaelekea nayeye kwenye jimbo lake siku ya jumatano alhamisi ataisha waandishi wa habari
sasa atakachosema sijajua tumwachie Mungu hope na yeye atakodisha watu wa kulia maana wa jimbo lake wanavyolia hata wakati wa ile shughuli yetu ya ndoa sasa sembuse kungatuka si wanautoa uchozi kama wendawazimu
 
Kuachia ngazi ni mazingaombwe tu, bila mtu kushitakiwa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Hi dhana ya mtu kuachia nagazi halafu hakuna hatua za kisheria zinachukuliwa inajenga utamaduni wa watu kupora mali za umma wakijua kuwa ukiachia ngazi unapongezwa na kuonekana shuja.
 
Binafsi naona ni vigumu sana kwa yeye kufanya hivyo kwa kuwa huyu jamaa anajiamini sana na ana kiburi sana!!
 
tetesi nilizonazo ni kuwa Bwana vijisenti ameaafiki maamuzi ya CC CCM na kuwa ataachia ngazi zote ndani ya ccm na serikalini wiki ijayo......hususani Ubunge.....hili llitamwacha lowassa katika njia panda kwa sababu ataonekana ni pekee yake aliyekiuka maagizo ya cc kuhusiana na dhana nzima ya kujivua gamba...................................

nionavyo Bwana vijisenti kaamua kutii ili kulindwa asishitakiwe...........

KUNA KAMDUDU KANAKUTUMA HAPA TOKEA JANA NAONA UNAKUJA NA VICHWA SIVIELEWI,ENDELEA ILA KUWA MAKINI NA VIHELA MBUZI UNAVYOLIPWa
 
kwa nini walazimishwe kujivua gamba na nini kazi ya mwenyekiti wao kwa nini asiwasulubishe kwa kuwaondoa chamani ???
 
Mi nahisi hizi ni hisia za mwandishi wa hii thread maana hakuna uwiano wowote wa chanzo cha habari na mwandishi, tumaweza kujikuta tunapoteza nguvu nyingi kujadili hoja zisizokuwa na msingi wala mantiki eti tu kwa sababu hoja inavutia.

A friend of my enemy is my enemy too
 
mkuu uko sawa kabisa na kapanga anaelekea nayeye kwenye jimbo lake siku ya jumatano alhamisi ataisha waandishi wa habari
sasa atakachosema sijajua tumwachie Mungu hope na yeye atakodisha watu wa kulia maana wa jimbo lake wanavyolia hata wakati wa ile shughuli yetu ya ndoa sasa sembuse kungatuka si wanautoa uchozi kama wendawazimu

Lazima itakuwa na mtiririko uleule wa RA kwani THINK TANK ni mmoja...(Salva) siunakumbuka wakati ule walivyopanga jinsi ya kupokelewa na wanainchi kwenye majimbo yao na publicity kubwa ikafuata baadaye kwenye magazeti yao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom