Nimekuwa ninafuatilia kwa karibu sana kazi aliyoifanya CAG katika uchunguzi wake kwa Jairo. Nimepata mashaka kidogo nikaona ni bora niombe mawazo toka kwenu GREAT THINKERS.
Kwanza nimekuwa nina muheshimu sana kwa kazi nzuri sana ambazo amekuwa akizifanya katika auditing mbalimbali lakini hili la Jairo nionavyo mimi alishinikizwa. Kwa nini ninasema hivyo? Kwa umakini wa huyu mzee na kwa kuwa mtu wa kufuata utaratibu kwa maisha yake yote hayaingekuwa vigumu hata kwa very simple mind kutambua kile kiasi kilichokuwa kimeingia ktk ile akaunti kule Dodoma kilikuwa part ya ile 1B na kwa kwakuwa ile barua tayari ilikuwa na maelezo hayo basi mechi ya uchunguzi ilikuwa imepatikana. Kwa hilo hakuna ambacho kingemfanya Jairo kukwepa kujibu tuhuma.
Ninaogopa sana pale mzee wetu huyu atakapojivunjia heshima yake alioijenga kwa miaka mingi na hasa kwa kuwa tricked na walinda hujuma wazoefu.
Embu tujadili hili jamani.
Asanteni sana.