Bvc,kundi la vijana cuf kwenye fb waipongeza clouds fm

Mgongo wa paka

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
485
36
Bvc au baraza la vijana cuf(vuguvuvugu la vijana) limepokipongeza kituo cha redio clouds fm kwa kujali kauli zitolewazo na wabunge wa wakiwa katika mijadala ya bunge.jana clouds fm imeripoti habari za mbunge wa cuf bi magdalena sakaya katika kipindi chake cha kumi kali .nakuipa nafasi ya kwanza. Jana mbunge wa cuf magdalena alisema badala ya kuwahamisha vituo wale wote waobainika kufuja mali za umma ni vema wa katandikwa risasi hadharani
 
ukiritimba wa habari umekuwa ukizitia habari za wa bunge wa cuf kapuni na cuf yote lakini cloudsfm imeona hapana hapa kuna kitu that tunasema clouds the people station
 
Back
Top Bottom