Buzwagi: Lowassa Alikuwa London Siku Ya Mkataba

Kwani kuwepo london,na mkataba kuna usiana nini?kama mkataba ungefungiwa dar na viongozi wote wanaishi dar ungeongea hayo?
Ni mjinga tu kama wewe anaweza kuuliza swali kama hilo, ni sawa na kuuliza , mama na baba yako kujifungia Chumbani kuna uhusiano gani na Mimba ya Mama yako
 
ninashaka na hili jambo kwa jinai hali ya kisiasa inavyoendelea na serikali inayopiga madili ya kifisadi mbinu zote wanazozitumia kumwaribia lowassa hazitafanikiwa huku ni kujitutumua tu kuona kama wanaweza mziki wa Ukawa watalia tu na hata magufuli mchafu tu naye.
 
topic niya siku nyingi but hakuna tunataka watu waende mahakamani / vinginevyo LOWASA NDO Rais utuelewi swala ccm ianguke km an a mengine badae
 
ndugu zangu mlikuwa wapiiiiiiiiiiiiiii.......................leo ndio mnayaamsha huku. tuangalie tusije kuharibu ya kwetu maana kama kuna jambo baya ni la kumlaumu mkubwa na si mdogo
 
leteni sera sio kuchafuana, kunaaliya msafi huko ukiachia Nyerere, mbona ESCROW, MEREMETA, EPA, hati chafu zote, nk hamsemi? leteni hapa mascandle yote
 
ndugu zangu mlikuwa wapiiiiiiiiiiiiiii.......................leo ndio mnayaamsha huku. tuangalie tusije kuharibu ya kwetu maana kama kuna jambo baya ni la kumlaumu mkubwa na si mdogo

Wapo wengi na mie ni miungoni mwao,Hatuwezi kuwa wajinga kiasi cha kukubali mambo yanayofanyika chooni sasa yafanywe jikoni na tufurahi kana kwamba hakuna kipindupindu.nawatakia kila la kheri kwenye hiko kibarua chenu kipya
 
ndo maana nasema jamaa anapiga kazi lakini mwizi!

habari za kuaminika kutoka London zinasema ya kwamba ,mheshimiwa Lowassa alikuwapo London 17 februari mwaka huu,siku ambayo mkataba wa Buzwagi ulitiwa saini,
Lowassa aliingia London tarehe 16 february akitokea Paris,Ufaransa ambako alikuwapo kikazi kwa muda wa siku nne,pia mheshima Lowassa alifikia katika Hoteli ya Churchil hill jijini Londoa ambako waziri karamagi alikuwa amefikia.
na katika Hoteli hiyo ndipo mkataba wa buzwagi uliposainiwa,
akiwa London,Lowassa alipokutana na watendaji wa serikali waliokuwa na Rais kikwete na kwa Upole wakamuuliza 'Mheshimiwa huko hapa?'Basi naye akawaambia alikuwa amekwenda kufanya Shopping..na kabla ya hapo alimpigia Balozi wa London na kumuelezea kwamba anakuja Lodnon ila asimpangie chumba..

Je kwa maelezo haya,kwa kuwa Lowassa alikataa asifanyie booking ya chumba ,je wana wa watanzania hamuoni tayari kuna mazingira tata kuhusus mkataba huu?

huyu Lowassa ana nia gani na SISI?

Source:Mwanahalisi
 
Huyu mkuu sasa amefikia mahali kila fanyalo ni aibu tupu, majuzi amejaribu kumtumia Kingunge kwenye kamati kuu, kuwaondoa wabunge wawili "waliokamatwa", na rushwa, cc nzima ikamzomea,

Aibu mtu mzima kufokewa na Muungwana, eti usituletee mahotuba hapa sema haraka hoja yako, mkuu akaambiwa hawafukuzwi mpaka kesi iiishe, kwa hiyo tulia chini! na yule mtu wako mwenyekiti wa wilaya, mwambie aache ujinga ninayajua yote!

Nasikia mkakati umeanza rasmi wa kumpromote Mwandoshii



mh,makubwa...!!
 
huu uzi ni wa 2007,yaani miaka 2 baada ya kikwete kukamata madaraka.
na huu uzi ni wa kabla lowasa hajajiuzulu uwaziri mkuu.
kwamana nyingine lowasa amekuwa akioekana na mapungufu miezi michache tu baaa ya kuteuliwa kuwa PM.
 
ninashaka na hili jambo kwa jinai hali ya kisiasa inavyoendelea na serikali inayopiga madili ya kifisadi mbinu zote wanazozitumia kumwaribia lowassa hazitafanikiwa huku ni kujitutumua tu kuona kama wanaweza mziki wa Ukawa watalia tu na hata magufuli mchafu tu naye.

Wala usipate mashaka mkuu. Habari hii iliandikwa tarehe 24 October 2007 wakati huo hata mamvi ahajaota kama atakatwa na kuhamia Chadema. Haya yote yanaonekana sasa kwa sababu jf haidanganyi.ni nyumbu tu ndio wataendelea kuhoji uadilifu wa huyu jambazi.
 
Mnakumbuka mkataba kipindi buzwagi inafungwa.

Zzk sikuwahi kumuelewa maana ghafla tu. Alikaa kimya hadi kesho. Sidhani km ni uamuzi sahihi au na yy alikula gawio
 
Back
Top Bottom