locust60
Senior Member
- Oct 1, 2008
- 101
- 12
Jameni ninataka kuagiza gari toka japan kuna hii kampuni ilipata kutoka tradecarview nikapenda moja kati ya gari walizonazo.Mimi sio mzoefu kwenye nyanja hii nimeona bora kutafuta maoni kwa wadau jamvini wenye uzoefu kwenye nyanja hii.Naomba kama kuna mtu aliwahi nunua kwao likumbana na changamoto zipi?