Butiku, Kitine, Kaduma, Salim, Warioba, wana nguvu?

Topical,
Nimewahi kuzungumza na Butiku na alisema alishawaandikia wote Mkapa na Kikwete barua. Wote hawakumjibu. Aliwahi kuomba akutane na Mkapa alipokuwa mamlakani, akamchenga. Ameomba kukutana na Kikwete, yale yale. Sasa ajabu, juzi baada ya Vincent Nyerere kumvua nguo Mkapa hadharani, ndipo Mkapa kwa mara ya kwanza amemtafuta Butiku, eti asaidie kumpatanisha na Vincent. Lakini kama ni suala la kukutana, Butiku ametumia kila njia bila kufanikiwa.

Assume kwamba naamini hicho unachosema kwamba ni kweli, hivi kweli ameshindwa kumuona katibu wa chama Wilson Mukama..mimi unknown naweza kumuona kila siku pale Lumumba? au hata nyumbani kwake Tegeta?

Mkapa ana tabia za jeuri (ukichanganya na ulabu pale police mess) lakini sidhani kama JK anaweza kukataa kukutana na mzee Butiku, Warioba au Kitine etc.. ..BIG NO..

Hawa jamaa wana bifu lisilokwisha na JK..of course wako kwenye mapambano ya kifikra..na hasira za watu wao kutupwa
 
Nimeshasema kuwa sijui kwa nini Kitine, Mahiga na Lugoe waliondolewa pale usalama wa taifa. Nimesema pia kuwa Kitine hajawahi kufanya kazi ubalozini. Na kuna mwingine hapa jukwaani ameniunga mkono akataja na balozi aliyekuwa Canada wakati huo. Nimesema Kitine alikwenda Canada, Vancouver, kwa masomo ambako alipata Phd. Mimi si ndugu yake. Mimi natoka Mara na Kitine nadhani anatoka Iringa. Tujikite zaidi kwenye issue badala ya personalities.
Mkuu umekuwa ukirudia hili neno kwamba Kitine alifukuzwa pamoja na Mahiga. Lakini mbona kumbukumbu zinaonyesha kwamba Mahiga amewahi kuwa DG wa TISS. Sasa kama Kitine alikuwa DG na wakafukuzwa pamoja na Mahiga ilikuwaje Mahiga akawa tena DG?
 
Topical,
Nimewahi kuzungumza na Butiku na alisema alishawaandikia wote Mkapa na Kikwete barua. Wote hawakumjibu. Aliwahi kuomba akutane na Mkapa alipokuwa mamlakani, akamchenga. Ameomba kukutana na Kikwete, yale yale. Sasa ajabu, juzi baada ya Vincent Nyerere kumvua nguo Mkapa hadharani, ndipo Mkapa kwa mara ya kwanza amemtafuta Butiku, eti asaidie kumpatanisha na Vincent. Lakini kama ni suala la kukutana, Butiku ametumia kila njia bila kufanikiwa.
Mkuu labda walimpuuza. By all means Mzee Butiku hana moral authority ya kumkemea ama kumkosoa mtu yeyote hata mwenyekiti wa kijiji cha ujamaa. Huyu Mzee ameudhalilisha Wakfu wa Julius Nyerere. Yaani hadi sasa Wakfu haujulikani pamoja na serikali kumwaga pesa huko. Butiku na wenzake walikula pesa za Mustafa Sabodo. Waliwauzia watu tiketi za bahati masibu na hawajawahi kuyoa zawadi. Museveni aliuchangia mfuko lakini pesa zikatafunwa. Ameshindwa kabisa kuongoza Wakfu wa Mwalimu na bado anaung'ang'ania wakati haonyeshi tija yoyote. CCM na viongozi wake wasemwe ila wasisemwe na watu ambao hawana moral authotity.

Mzee Kitime naye alidhalilika pale Bungeni. Manake watu walienda mbali zaidi na kusema mkewe alighushi kuwa alikuwa akitibiwa sphilis! Huyu mzee angetulia tu manake alichokifanya ni kibaya mno. Mzee mzima tena Waziri Mwenye dhamana ya utawala bora kughushi ni aibu ya kufa nayo. Hawa wote ni majeruhi wa uchaguzi wa 2005 manake walishughulikiwa na kila mtu akapata share yake.

Naamini Salim Ahmed Salim ana moral authority ya kuisema serikali na chama chake lakini naona anatawaliwa na busara na kaamua aidha kukaa kimya ama anatumia fora zingine kuyafikisha mawazo na maoni yake kwa viongozi wake. Akina Peter Kisumo nadhani nao wana ya kwao lakini wanatumia fursa nyingine kutoa maoni yao.
 
Waacheni wafu wakazikane!
Hawa wazee si ndio waliokwamisha utekelezaji wa sera sahihi za maendeleo enzi za Mwalimu?
 
Mkuu umekuwa ukirudia hili neno kwamba Kitine alifukuzwa pamoja na Mahiga. Lakini mbona kumbukumbu zinaonyesha kwamba Mahiga amewahi kuwa DG wa TISS. Sasa kama Kitine alikuwa DG na wakafukuzwa pamoja na Mahiga ilikuwaje Mahiga akawa tena DG?
Kimbunga,
That is a good question that needs some more homework on my part. Lakini ukweli ni kwamba wote waliondolewa pale TISS at one time or another. Let me do my homework and I will get back to you.
 
Tumewasikia wakitapatapa, hawajui wakati ukuta, wamebanwa mbavu, wanahemea tumboni, wanajaribu kujenga mustakabali ya tz ya 1967, hawajui nini wamekosea, wamo ndani ya chumba cha giza hawajui switch ukowapi,
Kweli majuto mjuukuu.

Waryoba ameathirika kisaikolojia kutokana na sigara pamoja na Gongo. Wasira anamlindia heshima tu angeweza kumchana ile mbaya sote tunakumbuka alimwangusha vibaya katika ubunge jimbo la BUNDA wakati Wasira akiwa NCCR-Mageuzi na tatizo kubwa lilikuwa ni ulevi wa kupindukia. Halafu mimi nashangaa , Hawa ndiyo wangetakiwa kujibu tuhuma wanazorusha Wapinzani kuwa tangu uhuru CCM haijafanyakitu kwa sababu wao ndio waasisi wa CCM. Nilitegemea watuambie kama madai ya wapinzani ni ya kweli au la?
 
Assume kwamba naamini hicho unachosema kwamba ni kweli, hivi kweli ameshindwa kumuona katibu wa chama Wilson Mukama..mimi unknown naweza kumuona kila siku pale Lumumba? au hata nyumbani kwake Tegeta?

Mkapa ana tabia za jeuri (ukichanganya na ulabu pale police mess) lakini sidhani kama JK anaweza kukataa kukutana na mzee Butiku, Warioba au Kitine etc.. ..BIG NO..

Hawa jamaa wana bifu lisilokwisha na JK..of course wako kwenye mapambano ya kifikra..na hasira za watu wao kutupwa
Mkuu huyo jasusi anaongea tu anachokifikiria na siyo cha ukweli, Kwanza Butiku ni nani mpaka iwe ni lazima akubaliwe kukutana wakuu wa nchi?. Unataka kuniambia Butiku ni zaidi ya Msuya, Salim, Malecela au kwa vile anatoka katika familia ya Marehemu baba wa taifa? yale yale ya utawala wa kifalme. Inawezekana kuna unafuu fulani ambao Butiku anaukosa kama mwana familia ya Mwalimu, jambo ambalo si lazima aishambulie Serikali bali alichotakiwa kufanya ni kuongea na familia ya Mwalimu imfikirie japo siamini kama ni mwanafamilia wa karibu kiasi hicho.
 
Malizaneni tu nyie wana CcM kwa sababu hapo ndipo mlipofikia kuwaongoza waTanzania
 
Tumewasikia wakitapatapa, hawajui wakati ukuta, wamebanwa mbavu, wanahemea tumboni, wanajaribu kujenga mustakabali ya tz ya 1967, hawajui nini wamekosea, wamo ndani ya chumba cha giza hawajui switch ukowapi,
Kweli majuto mjuukuu.

Walikuwepo ndani ya serikali na ndani ya CCM hawakufanya iweje leo waseme hivyo.
 
Mkuu labda walimpuuza. By all means Mzee Butiku hana moral authority ya kumkemea ama kumkosoa mtu yeyote hata mwenyekiti wa kijiji cha ujamaa. Huyu Mzee ameudhalilisha Wakfu wa Julius Nyerere. Yaani hadi sasa Wakfu haujulikani pamoja na serikali kumwaga pesa huko. Butiku na wenzake walikula pesa za Mustafa Sabodo. Waliwauzia watu tiketi za bahati masibu na hawajawahi kuyoa zawadi. Museveni aliuchangia mfuko lakini pesa zikatafunwa. Ameshindwa kabisa kuongoza Wakfu wa Mwalimu na bado anaung'ang'ania wakati haonyeshi tija yoyote. CCM na viongozi wake wasemwe ila wasisemwe na watu ambao hawana moral authotity.

Mzee Kitime naye alidhalilika pale Bungeni. Manake watu walienda mbali zaidi na kusema mkewe alighushi kuwa alikuwa akitibiwa sphilis! Huyu mzee angetulia tu manake alichokifanya ni kibaya mno. Mzee mzima tena Waziri Mwenye dhamana ya utawala bora kughushi ni aibu ya kufa nayo. Hawa wote ni majeruhi wa uchaguzi wa 2005 manake walishughulikiwa na kila mtu akapata share yake.

Naamini Salim Ahmed Salim ana moral authority ya kuisema serikali na chama chake lakini naona anatawaliwa na busara na kaamua aidha kukaa kimya ama anatumia fora zingine kuyafikisha mawazo na maoni yake kwa viongozi wake. Akina Peter Kisumo nadhani nao wana ya kwao lakini wanatumia fursa nyingine kutoa maoni yao.

Mbona mnatuhamisha kwenye hoja na kuanza Character assasinations ambazo hazijengi? Mlio CCM mnachotakiwa kujibu ni hoja walizotoa na si kukwepa hoja kwa kujikinga kwa makosa yao iwapo kweli yalishatendeka,

Wakati wa kampeni US Rais Obama alifanyiwa kamchezo ka kipuuzi na waandishi wa habari wa dizaini ya kiCCM or uandishi wa kibashe bashe, aliulizwa iwapo alishawahi kuvuta Bangi, Mjamaa haraka bila kusita aliitikia na kukubali na kuendelea kutwanga sera zake mpaka alipopata Urais

Hivyo basi madongo mnayowarushia wazee hao hayasaidii kuinusuru CCM inayozama bali mnazidi kuweka mpasuko ndani ya chama lenu
 
Great thinkers hawajadili watu wanajadili issues, kama unamjadili mtu then you are not a great thinker.
Ukiwa jambazi aikuzui kumuita mwenzio jambazi, inawezekana wazee wetu walikosea zamani but probably wameishajua kuwa walikosea. Sidhani kukosea kwao kunawakataza kutushauri, jamani Tanzania tunakoenda siko kabisa, we are lost, we are not moving in the right direction.We need to sit down to know why and how can we correct ourselves.
There is no way CCM can distance itself from this situation, hatuhitaji kuchapana mapanga na kuanza kukutana Geneva or Nairobi ndo tukae chini kujadili mustakabali wa nchi yetu.
Wazee wametoa a wake up call,ma great thinker we need to discuss on the wake up call and not who made a wake up call.
TUTAANGAMIA SIKU SI NYINGI:attention::attention:
 
Mkuu CCM ni chafu na inaendelea kuwa chafu kwa kuwa haikemewi na waadilifu. Hao ambao walikuwa wachafu wana uwezo gani wa kuwakemea wachafu wenzao? Nimewasikiliza leo hii katika marudio. Nadhani Mzee Kaduma ameongea vizuri lakini hawa wengine ni jazba tu na kuonyesha visasi ambavyo vinajulikana wazi.
 
Great thinkers hawajadili watu wanajadili issues, kama unamjadili mtu then you are not a great thinker.
Ukiwa jambazi aikuzui kumuita mwenzio jambazi, inawezekana wazee wetu walikosea zamani but probably wameishajua kuwa walikosea. Sidhani kukosea kwao kunawakataza kutushauri, jamani Tanzania tunakoenda siko kabisa, we are lost, we are not moving in the right direction.We need to sit down to know why and how can we correct ourselves.
There is no way CCM can distance itself from this situation, hatuhitaji kuchapana mapanga na kuanza kukutana Geneva or Nairobi ndo tukae chini kujadili mustakabali wa nchi yetu.
Wazee wametoa a wake up call,ma great thinker we need to discuss on the wake up call and not who made a wake up call.
TUTAANGAMIA SIKU SI NYINGI:attention::attention:
Hao hao ndio wamewarithisha utendaji mbovu hawa viongozi wa sasa. Hawajakiri makosa yao. Wangekiri wakaomba msamaha ndio waendelee kusema.

Ni kweli ni vyema tukajadiili hoja ila hoja yenyewe pia imetolewa na nani. Ana nguvu ya kimaadili ya kutoa hiyo hoja? Namkubali mzee Kaduma ila hao wengine kama wasingetoka serikalini wangeendeleza yaleyale.
 
Hivyo ni vipandevipande vya ccm iliyovunjika na ccm ile na kifisadi na kinafiki......walewalekasoro majina tu....wanatofautiana urefu wa kamba lakini woteni mbuzi na wote wamefungwa na kufugwa na ccm.
 
By Jasusi:
Mnapotoshwa!
Mkuu wangu nakushukuru kwa
kuwaeleza vijana wetu ukweli.
Tatizo la vijana wetu wengi
hawapendi kusoma historia ya
nchi yetu na kutafuta maarifa!
Wanadanganywa kwa vitu
vidogo tu!
...sio kwamba hawaijui historia,wanayapigania matumbo yao ili kesho wapate kweanda choo!...
 
Kitine alichumbiwa na mke wake.bahati mbaya huyu mzee hana mtoto hata wa kusingiziwa na uzee wake wote huo.
 
Back
Top Bottom