Butiku ainyooshea kidole CCM!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Mwenyekiti wa taasisi ya mwl. Nyerere akitaka chama cha mapinduzi wakaechini na wafanye tathimini ya mwoenendo wake, kwan amegundua hakina support toka kwa vijana, yeye binafsi anatambua misingi ya sasa ya chama chake ccm imetawaliwa na watu waliojaa ubinafsi na wasioendana na matakwa ya sasa ya wananchi. Awataka watathimin wajirekebishe kwan kizazi cha sasa kinawatupa mkono hivyo kuatarisha future ya ccm kisiasa. KIBAMBA aunga hoja kwa kusema kazi ya chama cha siasa c kukamata dola bt ni kuongoza kwa maendeleo ya taifa. Ccm imepotea, wAjirekebishe!
 
CCM kichwa cha mwendawezimu teh! teh! Hawashauriki, hawaambiliki, hawishikiki. VIJANA HATUPO TAYARI KUFATA SERA MFU!
 
Hawa jamaa mnadhani wako tayai kushauriwa? huyu mzee aachane nao tu kwani kichapo chao ipo siku kitaelewek tu!
 
Hao hawawezi kubadilika kwa sasa wanachoweza kufanya ccm, ni kufa tu chama kimefika mwisho. Makamba atampaka huyo Butiku we subiri tu
 
bt kina butiki ni moja ya wanachama waasisi, duh! Polen makada!
 
CCM ni sikio la kufa ambalo halisikii dawa. Wakati wake umekwisha. Chama mbadala kijiandae kutia timu Ikulu. Nadhani chama ninachokisema kinaeleweka!!!
 
Mkuu wa kaya kesha sema CCM ni Joka! Sanasana likibadirika litakuwa na ngozi mpya!
Sasa mnashauri lijirekebishe kivipi?
Mbona sumu itakuwa palepale
 
Butiku unakumbuka shuka wakati kumekucha!
Chama kilpotekwa na mafisadi ulikuwa wapi baba.
walikuwa wafadhili sasa mlie tu.
 
Kutoa ushauri kwa viongozi wa CCM ni sawa na kuchukua chakula cha mtoto na kumpa mbwa. Mbwa hataweza kamwe kutambua thamani ya chakula hicho!!!!
 
Kwa hali ilivyo sasa, chochote watakachogusa hawa ccm wanakiachia shombo kali!
La maana ni kukubali tu kuwa muda wao umejiri, wawapishe wengineo.
 


Defiant Gaddafi vows to fight on

In televised speech, Libyan leader blames youths inspired by regional events for uprising and vows to die a 'martyr'. ( 23-Feb-2011 )

SWALI HUMU: UTAMADUNI WA KURITHISHA WATOTO WA WAKUBWA
UKUBWA TANZANIA CHANZO CHAKE NI WAPI???


Nani anayejua hasa darasa la huyu King of Kings?

Kwa mtaji wa hutuba aliyoitao hivi majuzi ni mara mia angjinyamazia tu hivyo tungeendelea kumfikiria mstaarabu fulani hivi. Kwa kujiunga kwake jeshini akiwa na umri wa miaka 12 (child soldier) wala hatuhitaji kuuliza kama 'ALIONEWA SANA YEYE', 'AKADHALILISHWA SANA GADDAFI' hivyo kuja kupata kamwanya wa kuongoza nchi kwa mtindo wake mwenyewe hivi sasa anarudishia ngumi kwa jamii nzima ya Libya.

Tujifunze kitu basi na sisi hapa kwamba wale tuliowahi kuwaondoa kwenye nyadhifa fulani hapa nyumbani kufuatia kashfa iliyogoma kwisha katikati yetu hadi leo, nao wakija tu kupata urais wa nchi hii mtindo wao wenyewe na tusifikirie matendo yao kutofautiana sana na ya huyu nduli hapa.

Hakika shule iliomuingia mtu na kutulia ndani mwake ni muhimu zaidi tena sana kuliko shule ya kupitia hata kama madarasa yako ni mengi kimahesabu vidoleni.

Kanali Gaddafi ajikaanga kwa ulimi wake mwenyewe. Na watoto wake , masikini ya Mungu, ndio kabisaa wanaamini taifa zima la Libya ni kama shamba binafsi la ukoo kwa baba yao.

Nikitazama ya Ben Ali wa Tunisia, nikamgeukia Hosni Mubarak wa Misri na kumtaza mzee huyu ambaye kimawazo ni 'chipukizi' tu, na mwenendo mzima wa ushiriki wa familia zao katika mambo ya utawala wa nchi, Wa-Tanzania wenzangu NAPATA MAJIBU KUBWA SANA HAPA HAPA NYUMBANI kwamba ni kwa nini kati ya marais wetu wote wanne ni wawili tu kati yao ambao waonekana kupenda saana KUWARITHISHA UKUBWA WA TAIFA HILI kimtindo!!

Endapo Hussein Mwinyi hatojiuzulu ya Gongolamboto kwa kiburi tu kama ya watoto wa marais niliotangulia kuwataja kaskazini mwa bara hili basi huenda hata UKUBWA WA ZANZIBAR unaotazamiwa kwake ukagoma lakini ya Muungano ndio kabisaaaa wa kusikia tu redioni.

Je, inamaana wazee wengine akina Salim Ahmed Salim, Sinde Warioba, Mwalimu Nyerere, Phili Mangula, Joseph Rwegasira, Salmin Amour, Seif Shariff Hamad, Duni Haji Duni, Bibi Titi, Mama Mongela, Edith Mnuo, Dr Slaa, Prof Mwandosya, Prof Baregu, Mzee Kisumo, Edwin Mtei, Kambona, na wengine wengi tu ... wao hawana watoto wa kuwea nao kutamani kuwarithisha UKUBWA???

Mfano mzuri hebu angalia anavyoshiriki kuifanyi udalali nchi ya January Makamba, kijana mdogo mwenetu, ambaye angelihitaji kwa wivu zaidi ustawi mzuri wa Tanania. Katika hili tayari Vijana wa Tanzania TUMEWASOMA MCHEZO MZIMA na majibu tunayo!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom