Butiku aibuka tena:Anasema Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji

Sina nia ya kumtetea Butiku lakini nadhani Lunyungu akitupa data litakuwa jambo la busara ili tusidandie train tusiyojuwa inakoenda.

Lakini pia huenda ni kweli kwamba huo mfuko umechoka kifedha sipingi hilo hofu yangu ni kigezo kilichotumika koconclude hilo-kuchezesha bahati nasibu. Fact ni kwamba kuna mfadhili alijitolea vitu vichezeshwe hiyo bahati nasibu ili pesa itakayopatikina itumike kwenye mfuko. Sifahamu kama alifanya hivyo baada ya kuona mfuko umechoka kifedha. Hakuna mfuko unaoweza kukataa fedha,Bill Gates na Foundation yake hawezi kukataa pesa kusukuma mbele shughuli za mfuko.

Lunyungu umesema anaowasema Butiku hawajibu,hv Lunyungu sisiem hii iliyojaa ufisadi uliooza unatarajia watajibu kwa mwanaccm mwenzao ambaye si threat kwa lolote?Sidhani kama wanao huo muda, wako busy na ufisadi, they cant see. Boss wao juzi alisema kelele za wapinzani ni kelele za mlango hazimzuii yy mwenyenyumba kulala-dharau ilioje kwa wapiga kura waliomweka madarakani.
 
Masatu,
Sahihisho dogo tu ktk kisa cha Mwinyi.... waliouawa ni vizee waliokuwa wakikisiwa kuwa ni wachawi, ka hiyo mwandishi huyu anaonyesha wazi kapachika maneno kinywani mwa Butiku. Sofar he is the only leader from CCM ambae kasimama na kuulaani ufisadi.
Kuhusu Butiku naomba mtuweee hapa matumizi mabaya ya fedha za foundation ya Nyerere maanake sisi wengine tuna jamaa zetu humo na wahana kitu kabisa hadi leo hii, tena wanalia kuona nchi inaburuzwa na kizazi kipya cha Mafisadi.

hiri naro hata hariereweki. heti rinachangaya kingereza na kiswahiri. ndio unataka uonekanege wewe ni mujanja kwani urikuwa hujuigi kwa kiswahiri uandikege nini. hiri rimukandara hiri rifisadi ra kiswahiri. harafu rinajipa jina ra yure mukandara anefundishaga kiswahili kwe ri tvt. musiibege majina ya watu mujuwege na kuyatumiaga. munaambiwa riruga ritamu ni riruga rako. sasa wewe riruga ni hiro ra kifaransa sijuwi ra kijerumani. harafu hiro ributiku kama rimekura si ririkuraga renyewe uritakaga riwageige na hao majamaa zako iri wakuretee na wewe. mimi sikuerewi.
 
Lunyungu, Masatu, na Fisadi Mtoto.

Mimi nimesomesha watu 3 mlimani, nimmesomesha 2 ulaya (mabinti 2) si ndugu zangu na kuwasaidia maana walikua na bidii ya kusoma na ndio njia muafaka niliona naweza kuwasaidia.

Je unaweza kuniita mimi fisadi? Pili ile ni Foundation na inaweza kupewa offer na vyuo kupeleka watu kusoma nje, Je ni evidence gani unaweza kutupatia kuonyesha kweli amefuja mfuko ili tumshushie makombora.

maana Kwangu haitoshi kusema alisomesha vimada kwa kufuja hela za MNF? Audit reports zao zimeonyesha upotevu wa hela?

Je waliopelekwa kusoma walipata hizo nafasi kwa kutoa rushwa ya ngono?
Ieleweke binti kupewa nafasi yakwenda kusoma na kurudi kuwa hawara haijustfy ufisadi

nani arikuuriza ututangaziege misadaka yako unayoitoaga. si utajuanaga na rimungu rako. kama uriiba utakujaga hapa ututangaziege. hii miswairi mingine badiri ya kuongerea yariyowareta hapa yanakujaga kutaka kujifiaga. mimi. mimi.mimi.
kama waritoaga mirushwa ya miiri yao si miiri yao wenyewe. iko mingine mijinga inauzaga miiri yao kure kwenye mavirabu ya pombe kwa ajiri ya kurewaga tu. hayo yariyouzaga miiri yao yakapataga erimu. yanaakiri hayo.usiyazaraugi.au wewe uriwaperekaga hao uriojisifiaga urikuwa unarara nao.hata sikuerewi.we unataka uretewe miripoti ya mipesa kwani wewe ni mukaguzi wa serikali.harAfu ukisharetewa ukafanyege nayo nini.hii mijitu mingine sijui inatokaga mikoa gani.sijui inatokaga mara au ukerewe.HAIEREWEKI.
 
Hta kama Butiku atakuwa fisadi kama inavyojaribu kujengwa hapa japo bila ushahidi dhabiti nafikiri huyu mzee walau anaweza kusema japo mbele ya umma tofauti na wale wengine ambao kazi yao ni kusema cjhini ya kitanda tuu ili wasije wakasikika mbele ya wakubwa.

Tunahitaji watu kama hawa walau wawe wanasema inasaidia sana japo kusema ,ni sawa na kufuga mbwa mwoga ila anayejua kubweka ni tofauti na kufuga mbwa makali asiyeweza kubweka ....

Kama mbwa mkali habweki basi jua hata waizi wakija wanaweza wakamuua huyo mbwa na wakakuibia kiurahisi ,ila kama mbwa ni mwoga atabweka huku akikimbia na ataweza kukuamsha na uweze kujiandaa kukabiliana na hiyo hali huko nje.

Butiku ni mbwa mwoga ila anabweka ,Kingunge na wazee wenzake ndani ya CCM ni mbwa waoga na hata kubweka hawajui ....
 
Sina nia ya kumtetea Butiku lakini nadhani Lunyungu akitupa data litakuwa jambo la busara ili tusidandie train tusiyojuwa inakoenda.

Lakini pia huenda ni kweli kwamba huo mfuko umechoka kifedha sipingi hilo hofu yangu ni kigezo kilichotumika koconclude hilo-kuchezesha bahati nasibu. Fact ni kwamba kuna mfadhili alijitolea vitu vichezeshwe hiyo bahati nasibu ili pesa itakayopatikina itumike kwenye mfuko. Sifahamu kama alifanya hivyo baada ya kuona mfuko umechoka kifedha. Hakuna mfuko unaoweza kukataa fedha,Bill Gates na Foundation yake hawezi kukataa pesa kusukuma mbele shughuli za mfuko.

Lunyungu umesema anaowasema Butiku hawajibu,hv Lunyungu sisiem hii iliyojaa ufisadi uliooza unatarajia watajibu kwa mwanaccm mwenzao ambaye si threat kwa lolote?Sidhani kama wanao huo muda, wako busy na ufisadi, they cant see. Boss wao juzi alisema kelele za wapinzani ni kelele za mlango hazimzuii yy mwenyenyumba kulala-dharau ilioje kwa wapiga kura waliomweka madarakani.

wewe nae umeongeaga vizuli kure mwanzo harafu mwisho ukapalaganyaga kira kitu.sasa kwani wario mchaguwa ni hiyo mikelele ya milango.kwani wariomwekaga madarakani ni hao ccm.si ariwekwagwa na rimungu rake.na ware mapadiri warisema rimungu rao ririwajurisha kuwa kikwete ndio amepigiwa kula na mungu.arikuwa ndio richaguo ra mungu.
 
Mimi nilionya hapa kwamba Butiku si safi watu wakasema naleta majungu. Kamaliza kabisa MNF haina kitu kabisa sasa wanacheza bahati nasibu nadhani this man is looking for an exit door.Si msafi hata kidogo . Si yeye wala Warioba . Kama ni system CCM kumtumia kuwaponda lakini wanajuana then naweza kuelewa lakini kwa usafi nasema Butiku ni fisadi sana .Mke wa mtu unamjengea ghorofa wapi na wapi .Au ndiyo mwendo wetu vigogo wa CCM vimada nk ?

Ushahidi tafadhali!
Ripoti ya mwaka inaweza kuwa ushahisi mzuri sana kwa tuhuma hizi, vinginevyo utakuwa unamuonea!

Masatu,
Sahihisho dogo tu ktk kisa cha Mwinyi.... waliouawa ni vizee waliokuwa wakikisiwa kuwa ni wachawi, ka hiyo mwandishi huyu anaonyesha wazi kapachika maneno kinywani mwa Butiku. Sofar he is the only leader from CCM ambae kasimama na kuulaani ufisadi.
Kuhusu Butiku naomba mtuweee hapa matumizi mabaya ya fedha za foundation ya Nyerere maanake sisi wengine tuna jamaa zetu humo na wahana kitu kabisa hadi leo hii, tena wanalia kuona nchi inaburuzwa na kizazi kipya cha Mafisadi.

Na mpaka kesho bado hawa bibi na babu zetu wanaendelea kuuwawa kule Shinyanga na Mwanza, je ni waziri gani mwingine kajiuzulu? Hakuna! Hapa Mimi naona Butiku ana mantiki katika hoja zake! Viongozi wanajijali wao tu, hawajali waliwaweka pale walipo. Majuzi hapa wanajeshi wamepiga raia kule Morogoro na Mbeya, nani kajiuzulu?
Kuhusu kulaani mafisadi, Butiku hajatafuna maneno. Kasema kabisa kwamba kuna baadhi ya watu wamekinajisi chama na si uongo. Chiligati na wenzake wamebaki kukanusha kile ambacho kakisema Butiku, ambacho kwa uhalisia hakikanushiki, kwani ni ukweli mtupu! Majuzi hapa Chiligati anasema kwamba hoja ya ufisadi ililetwa na sisiemu, kwa hiyo Slaa hana lake! Ajabu! Tangu lini sisiemu ikajikosoa na kusema "Tumechafuka"?

MNF Nyerere alikuwa mtu safi- na hapa ndo kioo kilichobaki kwa uadilifu wa Mwalimu!

Kama kuna ufujaji wa pesa -basi tujulishwe!
Kwa hili nakuunga mkono. Na kama kungekuwa na ufujaji pale MNF sisiemu wasingemuacha Butiku aendelee kuwqachafua wakati yeyey mwenyewe kachafuka!
Sasa je ni yupi msafi? Je mimi na wewe ni wasafi? Kwa 100%?

Hata Clinton alichemsha kwa Monika!
Sawa. Lakini kamwe kosa halihalalishi kosa!Je aaminiwe nani?

Ni kweli hakuna msafi zaidi ya Mungu. Lakini sasa, kujua kwamba wewe ni mchafu ni mwanzo wa wewe kukiweka msafi na kutakata. Kama wewe ni mchafukoga na bado unadai hijachafuka, basi una mushkeli mkubwa!

Butiku, anafahamu anachokifanya. Sidhani kama anaweza kurusha mawe kwa jirani iwapo yeye mwenyewe anaishi kwenye nyumba ya vioo. Bado naamini kuwa Butiku ni msafi, iwapo tunaongelea juu ya uaminifu na uadilifu wake kwa taifa. Binafsi naogopa sana kuhusisha tabia za mtu binafsi na madhaifu yake na uwajibikaji wake kikazi. Ukweli wenyewe, hata kama Butiku anajengea vimada, bado haiwezi kujibu au kufananishwa na madhambi ya mafisadi ambayo yanagusa uhai wa taifa kama BOT.

Ni kweli kabisa. Huwezi kumwambia mwenzako kwamba ako uchi wakati na wewe uko uchi, unless uwe na mawaa katika uelewa wako!
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.... Mkuu hayo mapesa ya kusomesha watoto 3 Mlimani na 2 Ulaya ungetufahamisha source ya hiyo income then tuta ku judge kama wewe ni fisadi au laa.

Kuhusu audit report za MNF kuwa safi hata kamati ya fedha ya Bunge ilisema ripoti ya fedha ya BOT ni safi je mimi na wewe tunakubali kuwa ni safi?

CCM ni mafisadi sawa na Butiku tofauti yao ni fisadi Butiku yupo nje ya channel za ulaji sasa anabwaka kama mbwa koko.

Mkandara,

Ni kweli mauaji yale yalikuwa ni ya vibibi vichawi shukran kwa masahihisho
 
Kwi kwi kwi
Mwaka huu tutajua mengi sana.
 
Nadhani Butiku ni mnafiki ama anatumika kupooza hii ngoma . Yeye mwenyewe hajasema matumizi mabaya ya mfuko wa Mwalimu Nyerere .Au hadi tuanze kusema abishe then ukweli uje ?

WEWE SEMA KAMA UNACHO CHA KUSEMA!NA KAMA HUTASEMA NI MWOGA! WEKA MAMBO HADHARANI WEWEEEE!
 
Lunyungu

Mtu mzima hatishiwi Nyau kama unajua ubadhirifu aliofanya Butiku weka hadharazani. Maana na yeye atakuwa fisadi vinginevyo unapotosha mada na kwa kudivert attention kwingineko

Siku zote alikuwa wapi? Akisubiri wengine waseme? Atueleze Mfuko wa Mwalimu unatumikaje, tutamwelewa. Haya ya ufisadi awaachie Silaa na Kabwe. Si ajabu waliochota Bil 131 na yeye akawemo
 
Butiku, anafahamu anachokifanya. Sidhani kama anaweza kurusha mawe kwa jirani iwapo yeye mwenyewe anaishi kwenye nyumba ya vioo. Bado naamini kuwa Butiku ni msafi, iwapo tunaongelea juu ya uaminifu na uadilifu wake kwa taifa. Binafsi naogopa sana kuhusisha tabia za mtu binafsi na madhaifu yake na uwajibikaji wake kikazi. Ukweli wenyewe, hata kama Butiku anajengea vimada, bado haiwezi kujibu au kufananishwa na madhambi ya mafisadi ambayo yanagusa uhai wa taifa kama BOT. Hivi tukianza kuhesabu nani alinunulia vimada wake nini, kuna mwanasiasa au mbongo yeyote atakayekuwa sio fisadi? Wa kwanza ambaye hajawahi kumnunulia kimada hata soda aanze kumrushia Butiku jiwe!
 
Butiku na Warioba wote wanafahamu wayasemayo ama Warioba sasa kesha kwisha ni Fisadi ?
 
Mabangi,
Mkuru wangu unanipaga za home kweri kweri!... sina mbavu duh!
Wanabodi, tuwashukuru watu kama Butiku wanapojitokeza na tuwaunge mkono kwa sababu wanazungumza kile tunachopigia kelele sisi...
Tumeandika mengi yalosibu lakini sidhani kama ni uungwana kuanza kujiulia kama Mkandara ni safi ili nipate kuonekana nachosema kinatetea haki za wananchi.
Butiku hana sababu ya kusimama na kuzungumza anaweza uchuna vile vile kama viongozi wengine na tukaendelea kukanyagwa kila siku..kwani madai yao ni kuwa makelele ya mlangoni haya wazuii kulala. sasa kelele zinatoka ndani vyumbani mwao nadhani ni hatua moja safi sana...
 
Mkuu Kieleweke,

Ninakubaliana na wewe, in the absence ya system ya kui-check serikali ya CCM, as our political reality, then ni sawa kwa fisadi Butiku, kujaribu kumfunga paka, CCM, kengele,

Mkuu Jasusi,

Heshima mbele, you are right, Mkono is too rich na hizo accusations, tena alikuwa ni tycoon toka enzi za Mwalimu na sio jana wala leo na ni kweli ana ndege zake binafsi mbili.

Mkuu Masatu,

Waliouliwa Shinyanga, na kumfanya Mwinyi ajiuzulu walikuwa ni watuhumiwa wa uchawi, However, heshima mbele kwa finally kuanza kuliona la kuwa baadhi ya viongozi wa CCM, ni mafisadi maana umekuwa ukimtetea sana Mkapa, sasa sina uhakika kama yumo kwenye list yako mpya ya CCM na ufisadi, Bravo kwa hilo maana kumbe JF sasa tunaanza ku-make a progress as far as education ya taifa letu is concern, maana hata wewe sasa kukubali haikuwa kazi ndogo ya wananchi hapa kufundisha,

As for Butiku,

Ningemuomba Muuungwana, am-side line hivyo hivyo ili aendelee kupiga kelele, ingawa kisiasa hana rekodi ya kupewa hiyo platform, in the future awapatie dataza kina Zitto, Dr. Slaa, na Freeman, na Mama Anna Kilango Malecela, maana angalau wanazo credibility na wananchi tunawaaminia kuwa politically ni wasafi.

Ahsante Wakuu!
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.... Mkuu hayo mapesa ya kusomesha watoto 3 Mlimani na 2 Ulaya ungetufahamisha source ya hiyo income then tuta ku judge kama wewe ni fisadi au laa.

...acha kushangaa hapo wewe mtu kusomesha watu mlimani,nina uhakika hata deiwaka wa McDonald au factory unyamwezini akiamua kusomesha mtu mlimani ni kitu rahisi sana...what is 2000$? ni pesa ndogo sana ujue ukiwa US.
 
mikelele ya milango.kwani wariomwekaga madarakani ni hao ccm.

Ri urimi rako rimeanza kuterezaga na unaongea kiruga cha Taifa sawasawa au ni loho mtakatifu kakuingia? Tafuna urimi wako uenderee kuongea kwa rugha ya Mrakuka!
 
Back
Top Bottom