Bussiness Plan

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
wanajamii forum nina swali mimi nataka kufungua biashara je nikiwa na business plan yangu nikipeleka benk je naweza kupata MKOPO japo wa 6000,000/= kwa hapa Tanzania na je ni benk gani ambayo itatoa mikopo ukiwa na business planning,naombe mnisaidei ambao mnaufahamu zaidi, nawasilisha
 
Benki zetu ni Commercial Banks hazitoi mkopo kwa mtu anayeanzisha biashara. Aina ya mkopo unaohitaji huwa unatolewa na Venture capital Banks hizi ni benki zinazotafuta watu wabunifu ambao wana mawazo mazuri na kuwakopesha utaratibu huu uko nchi za Ulaya na Marekani. Kwa hapa kwetu sehemu ambayo unaweza kupata mkopo kama huu ni kwenye saccos. Swali la mwisho nikuulize jee kwa sasa unafanya shughuli gani ? Kwa sababu benki wanaangalia vyanzo vyako vya mapato na ukikopa utalipaje, Kama umeajiriwa unaweza kuomba mkopo toka NMB, Akiba Commercial bank, CRDB kwa garantii ya mwajiri wako, mkopo utakaopata utalipa kwa kukatwa kwenye mshahara wako. Kama una maswali zaidi nipigie simu nikupe ushauri zaidi 0755394701
 
babalaoo amejibu swari lako lote..kumbuka kuwa na bank statement yenye kutosheza..inflow and outflow.
 
Mkuu kama ni mtumishi wa umma au mashirika ya umma unaweza kupata nmb, azania,dar community bank kutegemeana na mshahara wako.
 
wanajamii forum nina swali mimi nataka kufungua biashara je nikiwa na business plan yangu nikipeleka benk je naweza kupata MKOPO japo wa 6000,000/= kwa hapa Tanzania na je ni benk gani ambayo itatoa mikopo ukiwa na business planning,naombe mnisaidei ambao mnaufahamu zaidi, nawasilisha

just to be in good order 6,000,000/=

kama business plan yako ni nzuri.... google BID Network website utakuta shemes za investor matchmaking au wahi kuipeleka business plan yako kwenye program ya Tanzania Private Sector Foundation BDG program...Business plan Compettition ..kuna winning grants za 3M up to 30M for a craative and winning Business plan deadline ni 11/o2/2010....
 
Baba lao asante sana kwa majibu yako ya busara sasa swali lingine ni hili je kama mimi nimefungua kampuni kama mwezi mmoja uliyopita na nikawa nimecreate project moja ambayo inahitaji pesa nyingi je bank wanaweza kunipa Mkopo ikiwa mimi sina historia ya kuingiza mapato..mfano soma kipengele hiki hapa kutoka Baclar Bank

"We are also offering Foreign Currency borrowing for Medium and Long term projects through European Investment bank (EIB), International Finance Corporation (IFC), French Development Corporation (PROPARCO) and Commonwealth Development Corporation (CDC)"

Barclays in Tanzania

Back
Top Bottom