business proposal

QUALIFIED

JF-Expert Member
Jun 13, 2012
773
112
wana JF
nina business proposal nahitaji capital render na business consern haihitaji capital kubwa sana return baada ya miezi 8 na riba ya asilimia 5
 
Kama uwezo wako umeishia kwenye hii post usitegemee kuna mtu atainvest pesa zake kwenye hiyo biashara...
 
wana JF
nina business proposal nahitaji capital render na business consern haihitaji capital kubwa sana return baada ya miezi 8 na riba ya asilimia 5
Duuu...Mkuu we ni wa wapi hujui hata kujielezea yaani hapo ndio umemalizaaaa...kwa akili yako, Unasafari ndefu Jipange!! Kwa kifupi hujaeleweka na hamna Mtu wa kupoteza pesa yake kwa kitu kisichokuwa kwny line\kisichokuwa na faida. Jipange kama kweli unania ya kusaidiwa na uwe na maelezo ya kutosha, Jifunze kufikiri nakupata ushauri kwanza kabla ya kuweka chochote humu Jf. Ni hayo tu, Fanyia kazi, Ushauri wa bureeee...huo.
 
mijitu mingine kweli kujieleza ni zero kabisa!!!! mtu kama huyu utamsaidia kweli???? halafu ndio eti tunaingia kwenye soko la EAST AFRIKA!!!!!
 
Anatuchora tu. Huyu ni 'JF seniour expert member' anafahamu kila kitu na nickname yake ni 'QUALIFIED'. Utamwambia nini kipya?
 
Duuu...Mkuu we ni wa wapi hujui hata kujielezea yaani hapo ndio umemalizaaaa...kwa akili yako, Unasafari ndefu Jipange!! Kwa kifupi hujaeleweka na hamna Mtu wa kupoteza pesa yake kwa kitu kisichokuwa kwny line\kisichokuwa na faida. Jipange kama kweli unania ya kusaidiwa na uwe na maelezo ya kutosha, Jifunze kufikiri nakupata ushauri kwanza kabla ya kuweka chochote humu Jf. Ni hayo tu, Fanyia kazi, Ushauri wa bureeee...huo.

nimejipanga sana mkuu ila busness is nat politics
 
mijitu mingine kweli kujieleza ni zero kabisa!!!! mtu kama huyu utamsaidia kweli???? halafu ndio eti tunaingia kwenye soko la EAST AFRIKA!!!!!

unajua nini kuhusu neno 'KUJIELEZA' Buggy
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa unamaanisha nini? kiingilishi kinanipiga chenga lakini hapa chini naona lugha uliyoitumia ina utata kidogo.........itakuwaje kwenye hiyo proposal yako?
mkuu si utani bali kupost plan widely in social is like buyying online while your nat sur of purchase your good
 
Mkuu hapa unamaanisha nini? kiingilishi kinanipiga chenga lakini hapa chini naona lugha uliyoitumia ina utata kidogo.........itakuwaje kwenye hiyo proposal yako?

namaana mtoa mtaji na mmiliki biashara ndo watajadiliana kiundan kuhusu proposal husika na si kueka kila kitu adharan ndo kutasaidia mkuu
 
Back
Top Bottom