Business consultant is needed argently to volunteer

Toa details vizuri kabla watu hawajatuma CV zao.

ni kampuni iliyoanzishwa miezi mitatu ilopita ipo maeneo ya Fire karibu na jengo la exim. inajishughulisha na mambo ya loans and business consultation.
kwa maelezo zaidi unaweza kupiga sim number 0712 066 064. utapata maelekezo yote
 
:A S-fire1:ambaye yupo tayari anaweza kupiga hiyo number. pia mtu aliyesoma project plannning anaweza kuapply
 
ni kampuni iliyoanzishwa miezi mitatu ilopita ipo maeneo ya Fire karibu na jengo la exim. inajishughulisha na mambo ya loans and business consultation.
kwa maelezo zaidi unaweza kupiga sim number 0712 066 064. utapata maelekezo yote

campuni ya loan them unavolunteer??
 
ni kampuni iliyoanzishwa miezi mitatu ilopita ipo maeneo ya Fire karibu na jengo la exim. inajishughulisha na mambo ya loans and business consultation.
kwa maelezo zaidi unaweza kupiga sim number 0712 066 064. utapata maelekezo yote

Landline, fax, secured email address wapi?
 
argently/urgently? kuvolunteer? halafu mnaweka hadi masharti eti awe na masters, na aje kuvolunteer? give me a break
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom