FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,192
Poa tu, si massage tu jamani kwani kuna nini zaidi? hafanyiwi mtu massage kama haihitajii.
Isitoshe, kama ni business card tu, hiyo ndio hata usiwe na shaka kabisa, kwani wengine waume zetu ni wajasiriamali kwa hiyo tunakumbana na business card kila namna, nakumbuka nilikumbana na business card ya Gozi langu saloon ya kike. Nikamezea tu wala sikuuliza imefikaje.