peter tumaini
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 573
- 94
Salaams Wanabodi!
Wakuu napendekeza tuwe tunapata business and economic news kila siku hapa hapa kwenye business forum yetu kama kanewsletter fulani kwa topic mbali mbali za kibiz na economics ila ziwe fupi.
nitaanza kazi hiyo kwa siku za mwanzoni then atakaye kuwa tayari then ata take over ili kupata ufahamu mzuri wa mambo haya daily.
Nawasilisha.