Bushoke Anahitaji Maombezi????

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
Jamani huyu dogo kama ameishiwa mistari aseme tumkabidhi kwa aliye juuu
 
muktadha hapo ni kwambana muda mrefu hajasikika, kwa hiyo kama ameishiw a tungo tumsaidie kimaombezi, silengi wimbo wowote naongea wholisticaly
taja na jina la wimbo maana umeandika nusu nusu habari yako..
 
muktadha hapo ni kwambana muda mrefu hajasikika, kwa hiyo kama ameishiw a tungo tumsaidie kimaombezi, silengi wimbo wowote naongea wholisticaly
Wangapi tunawajua wako kimya huwataji au huyu ndie anayekupa raha...!!? Achen hizo bana...!!! Bushoke yupo tena yuko fresh na ishu zake nyingine...!!!
 
Wangapi tunawajua wako kimya huwataji au huyu ndie anayekupa raha...!!? Achen hizo bana...!!! Bushoke yupo tena yuko fresh na ishu zake nyingine...!!!
Nadhani topic ni je Bushoke ameishiwa mistari?....haya mambo ya ishu zake nyingine hakuna aliyeuliza jibu ni kwamba ameishiwa au hajaishiwa na kama hajaishiwa ana nyimbo iko kwenye chati au anategemea lini kutoa Album mpya au single?
Majibu ya kitoto siyo utamaduni wa JF.
 
muktadha hapo ni kwambana muda mrefu hajasikika, kwa hiyo kama ameishiw a tungo tumsaidie kimaombezi, silengi wimbo wowote naongea wholisticaly

Kuna wimbo ametoa na msanii wa Uganda (ni Vampino kama sikosei), unaitwa Bingili Dance, ni bonge moja la songi aisee, hata miezi miwili hauna kwa soko.
Nikiwa desktop nitawawekea hapa, afu muamue kama Bushoke amefua au hajafua.
 
Bushoke tayari star sisi hata za mchakamchaka au JKT tulitungiwa
Jua lilee litelemke mama
Bushoke usipime
 
Wangapi tunawajua wako kimya huwataji au huyu ndie anayekupa raha...!!? Achen hizo bana...!!! Bushoke yupo tena yuko fresh na ishu zake nyingine...!!!
kama umesoma vizuri mada ninayoleta ni kwa sababu nilikua nazikubali sana tungo zake ndio maana nimechokoza hapa si kwa NIA MBAYA wadau..
 
hata wewe unahitaji maombi, saa nne yote unamuwaza bushoke. ulitakiwa uwe na mwenza wako.
 
Back
Top Bottom