Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
I feel your pain, it baffles me as well. Tatizo letu watanzania tumeamua kwamba hatuhitaji "akili" na "competence" kwenye siasa, matokeo yake jamaa wanaokwenda kwenye siasa ndio hao. Inauma sana, maana kila wakati nikisikiliza wenzetu wanavyowatathimini wanasiasa wao hawaachi kuanza na shule aliyosema, alipata daraja gani katika degree yake, etc. Kwetu sisi sifa pekee tunayoing'ang'ania ni: amekuwa kada miaka mingapi, ana ujanjaujanja kiasi gani.
Matokeo yake tunao watu kwenye siasa hawajawahi hata kuandika kurasa mbili kwa kujitegemea, na wengine kibao wamejipachika madegree na tumekazania kuwaita.... Sasa huo uwezo wa kuongea sensible and constructively wautoe wapi? Hapo ukiawauliza wangapi wana kitabu hata kimoja cha public speaking, nitashangaa watakaonyanyua mikono wakifika watano!! Tubadilike, tujali akili na competence hata kwenye siasa kwa sababu wanapoboronga tunaumbuka sote, sio wao tu!
kitila,
Umesema jambo moja amblo ni la msingi sana la kuhsu Elimu,Nchi hii tumekuwa na Viongozi wengi ambao hawajaenda Shule na matokeo yao ni mabovu ambao huwa wanahalalisha Siasa haitaji Elimu .Na kwa upande mwingine Upinzani kumejaa watu wengi wa namna hii.
Ndiyo maana kuna kipindi Flani nilijaribu kumshauri Mnyika arudi shule amalize na aachane na sisa kwa sasa,sababu kama CHADEMA ikimfukuza atafanya Shughuli gani??kama siyo kuama chama au kuanzisha NGo wka lengo la kujikimi
Kuna watu kibao na hasa ambo wanakimbilia madaraka ya juu ila Elimu yao ni ya Mashaka,Kuna KijanaMmoja ambaye nasikia anataka kugombe uongozi wa UVCCM,ana Degree ya PASS na kichwani hamna kitu.hawa siyo watu wa kuwaamini kutuongoza na atokeo yake ni kuwa na viongozi wa the way foward tu
Unadhani kwanini wazungu wanmuogopa Mugape,The guy is so powerfully and he has Education ,kwanini tuendelee kuendeshwa na wazungu kisa wanatupa Misaada,Je Rasilimali tulizonazo zatitutoshi?
Haiwezekani Bush ampende JK hivi hivi kuna kitu hapa