Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Sio lazima abishane nao kwa lugha ya kiingereza. Kwanza sio hao wakubwa wote wanazungumza Kiingereza. Chirac kiingereza chake kilikuwa cha kishikaji tu....sijui Sarkozy....lakini hao wengine sijawahi hata kuwasikia wakiongea kiingereza. Hivi huyo Mjapenga anajua kiingereza kweli? na je hoja zake huwa hazisikilizwi? Come on man, why is knowing English such a big deal to you?
Swala hapa sio kiingereza tu, japokuwa ni muhimu, ni issue nzima ya communication skills-verbal and non verbal. In other words, we are talking of a minimum level of cognitive competence essential in any leader at any level, and particularly in a president. Kwa hiyo mzee, don't belittle the bigger issue hapa kwa kuificha ndani ua kiingereza. Tulipomshambulia Mwakyembe juzi, sio kwa sababu aliongea kiingereza kibovu, bali kwa kuchagua maneno vibaya ambayo clearly yalikuwa politically suicidal! Sasa hebu chambua kidogo content ya maelezo ya mheshimiwa hapo, utaibuka na vitu kibao ambavyo ni problematic insofar as communication is concerned.