Busara za Mbowe zaonekana

kamanda mbowe nimemkubali,dah ile si kisomo bali ni hekima na kipaji cha kuzaliwa.nimemsikiliza tangia mwanzo mpaka mwisho.lait mikoa yote ingekuwa kama Arusha,na akasema tunahitaji kuwa na makamanda lindi,mtwara,tanga,dodoma monduli na simanjiro.wanaenda kukata rufaa j4.all the best wawakilishi wa watz

waweza weka clip (audio/video) hapa?
 
Unaposema busara za Mbowe zaonekana unamaanisha huwa kwa kaiwa hana busara? Au hukumtegemea aongee maneno ya busara? Au una question his wisdom?
 
Namshukuru mungu kwa kuwapa hekima Viongozi wetu wa CHADEMA katika kufanya maamuzi na Mungu aendelee kuwapigania na kuwalinda siku zote katika ya kuwatoa watanzania kwenye usingizi mzito ambao wamekuwa nao kwa muda wa miaka 50.
 
Kwa mara nyingine tena busara imetumika baada ya kutumia maneno ya kuwatuliza wanachama wa Chadema.

"Mahakama si mtu mmoja bado tuna majaji wengine wenye uelewa, tutakwenda huko kudai haki".

"Vijana tulieni tusionekane chama cha vurugu acheni wao waanzishe vurugu, lakini tuwe tayari kwa vurugu..dah!"

Hizi ni busara za hali ya juu tukubali tusikubali kama si kutuliza hasira kwa busara saa hizi tungekuwa tunasema mengine.

Kama serikali, Usalama wa Taifa, Polisi haioni umuhimu wa mtu huyu basi haitapata mwingine.
Mbowe ameamza kuongea kwa busara na hekima! Safi sana. Hekima hizo zinatakiwa jumba jeupe! Katibu Mkuu- Dr. Slaa ana hekima; Mwenyekiti/KUB - Mbowe ana hekima; Naibu Katibu Mkuu/Naibu KUB - Zito ana hekima basi naona itakuwa kazi kweli kumpata flag bearer wa CDM 2015 kwa kuwa CDM imesheheni viongozi wenye busara.
 
1.CHADEMA wamechukua uamuzi huu wa HATARI kwa ni kabla ya hapo:
A/Members WALIFURAHI SANA kwa USHINDI wa NASSARI kwani uliwaongezea MBUNGE MMOJA.
B/BAADA YA SIKU MBILI mbunge mtukutu kwa wana CCM,GODBLESS LEMA alijiuzulu.

-UPANDE WA WANANCHI:
Hawa hasa wafuasi wa CHADEMA walifikiri kwa MASABURI hivyo kuwa tayari kumchagua JIWE kuwa mbunge kwan kulikuwa na TETESI kuwa kuna Zengwe la hatari Za lema KUPORWA haki YAKE ya KUGOMBEA TENA.
Huu ulikuwa ni uamuzi wa KIPUMBAVU kwa sababu KUU mbili:
1/Wananch Tunahtaji MBUNGE na si JIWE.
2/Muda wa JAZBA si muda MUAFAKA wa Kufanya MAAMUZI.

GODBLESS LEMA.
Huyu HAKUFANYA PAPARA KUROPOKA uamuzi Wake Kuwa anataka nini bali ALIZUGA kwa Kusema anasubiri maoni ya VIONGOZI WAKE.

VIONGOZI WA CHADEMA.
Hawa pia WALIWAPA WANANCHI siku 2 ILI WAWAPE MAAMUZI.

MATEKA WA CHADEMA !
Kwa siku 2 CHADEMA Iliteka maelfu ya bongo za watu hvyo Kufanya WENGI WETU HAPA MIMI NIKIWEMO kuPOST post NYINGI na Kuwa UDHI MODS ambao WALITUTEGA kwa POLL ambayo kwa sasa siioni.

SABABU ZA POLL KUTOWEKA KWA MUDA.
Nadhani baada ya CHADEMA kufanya SUBIRA ya SIKU 2 Na hivyo kuPOZA jazba zetu UCHANGIAJI WA POLL ULIPUNGUA:
MY TAKE:
1.CHADEMA Waliangalia MIAKA 20 mbele wakati SISI wanachama wa CHADEMA jazba ilipotea.
2.MODS waliangalia MBALI na Kuweka POLL bila kujali MATOKEO ya JUMAMOSI.
3.SIFA KUU ya GREAT THINKER YOYOTE NI KUWA NA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU KAMA MODS NA VIONGOZI WA CHADEMA WALIVYO FANYA.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom