Busara za kiti

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Wakuu naomba mnitoe tongotongo. Ni mara nyingi huwa namsikia spika akizungumzia busara za kiti wakati wa maamuzi ya mambo muhimu. Nachotaka kufahamu ni kama kanuni zinaruhusu spika kuamua vile anavyoona nivema ama la.
 
Back
Top Bottom